Lowassa akiwa kijiweni baada uchovu wa kisiasa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Baada ya safari zisizo na matunda kuanzia safari ya matumaini hadi safari ya mabadiliko kukwama kaamua kujikalia kijiweni

Lowasa.2.jpg
 
Baada ya safari zisizo na matunda kuanzia safari ya matumaini hadi safari ya mabadiliko kukwama kaamua kujikalia kijiweni

Lowasa.2.jpg
Huyo nani "amemkalisha"?Huko kutulia kwenye kipande cha TOFALI nii ishara ya kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu uliompa ushindi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.
 
watu wahongo sana

hapo edo alikuwa bado pm

ni pm pekee aliyeweza kuvaa viatu vya sokoine kwa ukaribu
 
Kudadadeki!! kutoka kusimama mbele ya nyomi hadi kukalia kipande cha tofali akimsikilizaa nani huyo? Ama kweli dunia hadaa ............
 
Mkishakula maharagwe yenu huko huwa mnakuja na kauli za "Uchaguzi umekwisha sasa hapa kazi tu" lakini mkivimbiwa mnakuja na viroja kuhusu uchaguzi huo huo. Mbona hamueleweki?
 
Baada ya safari zisizo na matunda kuanzia safari ya matumaini hadi safari ya mabadiliko kukwama kaamua kujikalia kijiweni
YEHODAYA, Gazeti la UHURU linatafuta mhariri.

Hiyo picha umeweka ni ya March, 2006.

Waziri Mkuu, Edward Lowassa akipokea taarifa ya ujenzi wa shule ya msingi Manyara Ranchi, Monduli kutoka kwa Mkurugezi wa Programu ya ujenzi huo, Dk. James Kahurananga. alipokagua ujenzi huo, wakati wa ziara yake ya kutembelea jimbo lake la uchaguzi, Monduli, juzi. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM Monduli, Onesmo Nangole na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Anthony Maley.

Link Waziri Mkuu Wetu Ed Lowassa
 
kazeni buti kuandika ujinga maana mwenye kigoda kaomba mfikiliwe na Jpm. Lakini u-dc kuupata si mchezo kama vipi mtafute Karum€ mpige ngwara kwa sababu anazingua sana kule kwenye marashi.
 
Huyo nani "amemkalisha"?Huko kutulia kwenye kipande cha TOFALI nii ishara ya kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu uliompa ushindi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.
Naona unatwanga maji kwenye kinu wewe
 
watu wahongo sana

hapo edo alikuwa bado pm

ni pm pekee aliyeweza kuvaa viatu vya sokoine kwa ukaribu
Alafu huyo anaye soma karatasi mbele ya hao walio kaa ni g.liundi
 
Back
Top Bottom