Lowassa akabidhi Madawati 500 kwa shule Ukonga

mkuu Pasco kwa hiyo alibeba zigo la richmond kuwaficha mafisadi??? na wewe kabisa unakubali alifanya la maana!! sisi tunawataka mafisad wafichuliwe afu yeye anabeba zigo kuwaficha...ina make sense kweli!!!! sasa kama anaficha mafisad akiwa mbunge akiwa rais itakuaje??? huu ni mgando wa mawazo na ndoto za mchana......
Mkuu Lordville, kama EL asingebeba zogo la Richmond, serikali ya CCM ingeakuga yote and all would have been loosers, kwa kubeba zigo lile, serikali imeponywa, hivyo keep calling him what you may, kwa CCM na serikali yake, he is not only a hero, but a saviour!, kama CCM ikimsimamisha 2015, hakuna mtu yoyote wa kushindana naye kutoka chama chochote, hivyo 2015, itakuwa ni CCM tena!.
 
Pasco hizo zako ni ndoto za Alinacha. Tambikia sali hata funga hata uwe uchi hakuna mtanzania mpumbavu wa kuchagua fisadi aje kuiba zaidi. Kikwete ametosha. Hatuhitaji tena kizazi cha laana cha mafisadi wapenda sifa na kuiba bila kufanya lolote. Heri kutokuwa na rais kuliko kuwa na Lowassa kama rais. Hata hivyo si vibaya kuota kwa vile mwisho wa CCM ni 2015. Wewe, CCM na Lowassa wako mnajua hivyo. Hata kama mtamleta Lowassa kama kafara ya Richmond, bado atakuwa na maswali ya kujibu ni kwanini yeye na Kikwete walihujumu taifa.
Mkuu Baba wa Wote, hata kabla ya kuumbwa dunia, ilianza ndoto, ndoto hiyo ikageuka neno, "na iwe dunia" dunia ikawepo!.
Hata kabla ya uhuru, Tanganyika kujitawala ilikuwa kama ndoto na hatimaye kuwa kweli!.
Wana CCM wanaamini CCM itatawala milele kwao wao ndio wanaona Chama kingine chochote kutawala hii nchi ni ndoto!. Kwa vile kiukweli halisi, "the plain truth", CCM ipo and does exist in reality na hii sio ndoto, pia its the trues kuwa CCM ndicho chama tawala na kimetawala nchi hii tangu tumepata uhuru, hivyo CCM kutawala sio ndoto, ni ukweli halisi, ila pia kwa sababu kuna chama kingine ambacho hakikuwahi kutawala nchi tangu kimezaliwa, lakini kinadhamira ya kutawala mwaka 2015, kiukweli halisi, hiki chama ambacho hakikuwahi kutawala hata mara moja, ndicho chenye ndoto ya kutawala na sio hiki kinacho tawala maisha yake yote!.

Hata hivyo ndoto ni kitu kizuri endapo ndoto hiyo itakuwa kweli, sasa anayesema CCM itakufa mwaka 2015 pia ni ndoto, anayesema CDM itachukua nchi mwaka 2015 pia ni ndoto, na anaesema CCM itatawala milele pia ni ndoto. Kati ya ndoto zote hizo, zile ambazo zitageuka kuwa kweli, then hizi ndizo ziitwazo "the dream come true!" na zinakuwa sii ndoto tena!. Zile zinazoishia kubakia ndoto, sasa hizo ndizo za alinacha!. Nakuomba ifikapo siku ya weka kumbukumbu hizi, siku ya kutekelkezwa kwa ndoto ni Jumapili, October 25/2015, Matokeo yatatangazwa Jumatano 28/10/2015 na kuapishwa ni Ijumaa 30/10/2015!, nitakuomba tukumbushane alinacha wa ukweli ni nani?, hala hala msije mkasusia tena matokeo!.
Pasco.
 
Wanabodi,

Kuna taarifa kuwa Barrick Gold wametoa madawati 500 yenye thamani ya
Tsh.15,000,000 kwa shule ya Jimbo la Ukonga.

Habari zinadai kuwa EL ndiye aliyekabidhi madawati hayo kwa Makongoro
Mahanga (MP), Mbunge wa Jimbo la Ukonga.

Akiongea kwenye hafla hiyo, EL amesema amesikitishwa na matokeo ya
kufeli masomo ya Sayansi kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana.

Source: Clouds Fm News saa 2:00 asubuhi leo.

Swali:

i) African Barrick Gold wasingeweza hao wenyewe kukabidhi madawati hayo
bila ya kumualika EL?

ii) Kuna nini kati ya EL na Mahanga? Au ndio exposure ya presidential
races za 2015?

Naomba kuwasilisha

2015 kuna kazi kweli X2
 
Hawa Barick si wanafyonza madini kanda ya ziwa huko? Kwa nn wamejitia kiherere kutoa madawati dar wakati kanda ya ziwa shule kibao watoto wanaketi kwenye vumbi.
 
Mkuu Lordville, kama EL asingebeba zogo la Richmond, serikali ya CCM ingeakuga yote and all would have been loosers, kwa kubeba zigo lile, serikali imeponywa, hivyo keep calling him what you may, kwa CCM na serikali yake, he is not only a hero, but a saviour!, kama CCM ikimsimamisha 2015, hakuna mtu yoyote wa kushindana naye kutoka chama chochote, hivyo 2015, itakuwa ni CCM tena!.
sasa mkuu huoni kama alificha uovu??? usiseme serikal iliponywa sema mafisad walifichwa...hapo ndugu yangu hujanishawishi bado...yan mtu kuficha uovu!!! inaleta maana kwel???
 
Ni fisadi, alikataliwa na Nyerere kwa sababu si mwadirifu. Hatuwezi kukabidhi fisi bucha, tusubiri tuone.
 
Nilitarajia Lowasa achangie madawati kwani alikuwa akijifanya ana uchungu na elimu.Kumbe nimegundua hakuwa na uchungu na elimu alikuwa na uchungu tu wa kupata kura.Hadi sasa hajachangia dawati hata moja!
 
bendera ya cc,m.jpg
 
Lowasa huwa hafanyi biashara kichaa ,akitoa maburungutu ,msikitin na kanisani ujue kuna kitu anakitafuta ,tusubiri 2019 huenda akaanza tena kugawa. Maburungutu
 
Nilitarajia Lowasa achangie madawati kwani alikuwa akijifanya ana uchungu na elimu.Kumbe nimegundua hakuwa na uchungu na elimu alikuwa na uchungu tu wa kupata kura.Hadi sasa hajachangia dawati hata moja!
Wewe umechangia?
 
nini maana ya elimu Bure? na mh Rais alishasema atakayemchangisha pesa mzazi atakiona
 
Nilitarajia Lowasa achangie madawati kwani alikuwa akijifanya ana uchungu na elimu.Kumbe nimegundua hakuwa na uchungu na elimu alikuwa na uchungu tu wa kupata kura.Hadi sasa hajachangia dawati hata moja!
Hayo ndo madhara ya kuiga sera za upinzani pasi na kujua utekelezaji wake. Elimu bure mpaka form 4 inawachemsha kutwa kuchangisha madawati.

Ilibidi wawaulize ukawa wangewezaje kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu bila kuchangisha wananchi
 
Nilitarajia Lowasa achangie madawati kwani alikuwa akijifanya ana uchungu na elimu.Kumbe nimegundua hakuwa na uchungu na elimu alikuwa na uchungu tu wa kupata kura.Hadi sasa hajachangia dawati hata moja!
Nchi ya Madawati. Toka Nyerere na Bado Wanafunzi Tulikuwa tunatoa Hela za Kutengeneza hayo Madawati ...

Yaani Hii Nchi ya .....
 
Lowassa huyu acha tu,watu wakilala wakiamka wanamuota!Hii nyota ni Kali sana!
Hivi lini anapelekwa mahakama ya mafisadi?
 
Nilitarajia Lowasa achangie madawati kwani alikuwa akijifanya ana uchungu na elimu.Kumbe nimegundua hakuwa na uchungu na elimu alikuwa na uchungu tu wa kupata kura.Hadi sasa hajachangia dawati hata moja!
Hii nayo ni thread?! Una KIHEREHERE & KISABENGO sana.

Kwani kila akitoa mchango ni lazima ajitangaze?! Akutangazie wewe kidampa!?

Ungekuwa mwanamke, hata bure sikuoi.
 
Acha up****, rejea nilichouliza. Halafu madawati hayajatoka mfukoni mwa EL.

Jema lipi amefanya EL? Kutuibia akishirikiana na African Barrick ili return kwetu iwe madawati!

Tumia kichwa kufikiri na si kufuga nywele.
Ni takribani miaka 4 sasa tangu uandike hili bandiko la kuwa Lowassa ni mwizi.

Je bado una msimamo huu huu? Au umebadili msimamo angani kama walivyofanya akina Lema,Msigwa,Mnyika,Lissu na tapeli zoefu Mbowe?
 
500 tu?? Angekabithi mil 5 kwa jinsi alivyoiba pesa za Watanzania. Fisadi wakhedi!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom