Lowassa ajiweka mbali na kampeni Arumeru,ajikita kanisani..

Lowasa anatafuta kuungwa mkono na vijana ambao wengi hawana ajira, haka kamchezo tumeshakashitukia!
 
Uzuri ndani ya ccm hakuna msafi, anayethubutu,ana chapa kazi kama EL,hivyo hakuna atakayemjibu
 
... kelele huko!! Eti Lowassa aishukia serikali, yeye akiwa na mtaji gani wa UADILIFU KI-UONGOZI vile, my foot!!!!
 
Jamaa (Lowasa) mpaka wanainchi wana mtreat kama rais already kwa jinsi anavyoji position ...
 
Yule mpendwa aliekuja jf akasema Lowasa hajaalikwa labda amsindikize mkewe mboja hajitokezi kusema lolote?
 
Yeye ndio alie ifanya serikali kushindwa kuajiri kwakuiletea serikali mradi wa ma bilion ambao zile pesa zingetumika kuleta ajira mpya zimeenda kulipa madeni. Lowasa ndio chanzo leo anasema nini? Watanzania hatudanganyiki!
 
Yule mpendwa aliekuja jf akasema Lowasa hajaalikwa labda amsindikize mkewe mboja hajitokezi kusema lolote?

Sio mshabiki wa Lowasa ila mtu kama kamsindikiza mkewe anapewa mpaka nafasi ya kutoa speech..yule aliyeleta ile habari alichemka au kama alikuwa sahihi aje asema Lowasa ana nguvu kabadili karata last minute mana huyu jamaa ni unstopable ..ni kura tu za wanainchi ndizo zitakazo mstopisha duh
 
Hongera sana Hon. Lowassa. Hakika wewe ni kiongozi wa kuigwa na jamii [ role model]. Mungu Akubariki Sana.
 
Hii Movie anayocheza EL (Presidential Election 2015) nataka kujua kama Sterling mwisho wa picha atakufa au hatakufa!
 
Lowasa ni mtu hatari sana. Yeye alivyokuwa serikalini kulikuwa hakuna tatizo la ajira?
 
Lowassa anatafuta umaarufu wa kisiasa kuungwa mkono na vijana pindi akitaka kugombea urais, anajua wazi kuwa wapiga kura wengi ni vijana. Atuambie yeye alipokuwa waziri mkuu alifanya kitu gani kuhusu vijana wasio na ajira, suala la vijana kutokuwa na ajira halijaanza leo ni la muda mrefu japokuwa linazidi kuongezeka. Kama yeye ana ufumbuzi aishauri serikali yake nini ifanye kukabiliana na jambo hilo asitafute mtaji wa kisiasa.
 
Nimeshaamini ule usemi alioutoa alipoulizwa siku aliporejea akitokea Ujerumani! Namnukuu (NIKO FITI KIAFYA NA NIMEKUJA KUPAMBANA)! mwisho wa kumnukuu.
 
Kuna watu hawana aibu, mtu ulikuwa waziri mkuu, ukafukuzwa kwa kashfa ya ufisadi, bado unajiandaa kugombea urais! hawa ma-gamba, kitu inaitwa aibu hawana hata tone!
 
Lowasa yuko very funny.
Hata wapambe wake wameshindwa kumshauri.
Anazungumzia ajira za vijana kwenye a stagnant/static economy, hizo ajira atatengenezea wapi?
Kama angekuwa mjanja angesimamia sector moja ya uchumi, then angesema ni jinsi gani inaweza kuongeza ajira za vijana.
Sijui hiyo serikali yake ana dream itawapatiaje ajira hao vijana.

Afrian piloticians, never cease to amaze.
wanawaza kinyume nyume kabisa,
 
Back
Top Bottom