Lowassa Aipasua CCM Vipande vipande

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Uamuzi wa Edwad Lowassa kujiondoa ccm na kujiunga Chadema bado unakitesa chama hicho tawala baada ya mikoa kuanza kuwashugulikia viongozi waliomunga mkono wakati wa uchaguzi mkuu huku baadhi wakisema wako tayari kupambana na wanaowatuhumu kusaliti chama.
 
Attachments

  • IMG-20160302-WA0034.jpg
    IMG-20160302-WA0034.jpg
    152.7 KB · Views: 29
Uamuzi wa Edwad Lowassa kujiondoa ccm na kujiunga Chadema bado unakitesa chama hicho tawala baada ya mikoa kuanza kuwashugulikia viongozi waliomunga mkono wakati wa uchaguzi mkuu huku baadhi wakisema wako tayari kupambana na wanaowatuhumu kusaliti chama.
Msaliti ni lazima aambatane na watu wake, mtu hawezi kufanya usaliti mkawaacha wafuasi wake wawe salama mkitegemea usalama, sivyo hata kidogo.
 
Anaweza kuipasua ccm wakati mpaka sasa chadema wameshindwa kupata katibu mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa chama
 
H
Uamuzi wa Edwad Lowassa kujiondoa ccm na kujiunga Chadema bado unakitesa chama hicho tawala baada ya mikoa kuanza kuwashugulikia viongozi waliomunga mkono wakati wa uchaguzi mkuu huku baadhi wakisema wako tayari kupambana na wanaowatuhumu kusaliti chama.
Haya ndo majipu sugu yanayotakiwa kupasuliwa bila ganzi, kule mkoani Mara Kuna wajumbe wale wa NEC kina Mathayo Vedastus mb Musoma Mjini, yeye alikuwa anasema nichagueni mimi Mathayo, mnipe madiwani lakini Urais mtajua wenyewe, pia yupo Kangi Lugola mbunge wa Mwibara, Chandi Marwa, huyu mpaka alipewa gari na EL, Lameck Airo
 
Amewapasua vichwa na moyo kabisa, na wanajuta kumkejeli maana hata ccm kukosa wawakilishi Dar Lowasa alichangia kiasi kikubwa sana, BANGO la LOWASA liliwekwa likawa kivutio na shangwe kwa wakazi wa jiji leo LOWASA anawagharimu muda na fedha kupata meya wa jiji. Watamkumbuka sana.
 
Ukiona hivyo ni wazi CCM haikushinda uchaguzi huu na hivyo baada ya kupora Ushindi kwa UKAWA sasa wanawaadhibu wale ambao walichangia kushindwa kwao.
 
Naona Bavicha wameamua kujifariji na kujiliwaza.

Vipi Hii Signature yako bado iko valid? maana unaemkosoa kwa sasa yupo upande wenu.

"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dr.W.Slaa "30.10.2010"
 
Chadema Zitto mulimfukuza kwa tuhuma za usaliti wa Chama itashindikana vipi kwa CCM kuwafukuza watu wanaoamini walikisaliti chama chao?
 
H
Haya ndo majipu sugu yanayotakiwa kupasuliwa bila ganzi, kule mkoani Mara Kuna wajumbe wale wa NEC kina Mathayo Vedastus mb Musoma Mjini, yeye alikuwa anasema nichagueni mimi Mathayo, mnipe madiwani lakini Urais mtajua wenyewe, pia yupo Kangi Lugola mbunge wa Mwibara, Chandi Marwa, huyu mpaka alipewa gari na EL, Lameck Airo
MBONA HATA CHENGE NILIMSIKIA KWENGE MKUTANO WAKE AKIOMBA KURA KUWA UBUNGE NIPENI LAKINI URAIS MTAJUA WENYEWE. BUT MNAMBEBA KILA SIKU NA VYEO MNAMPA NA MWAJUA KWA NI LOWASSA DAMU
 
Chadema Zitto mulimfukuza kwa tuhuma za usaliti wa Chama itashindikana vipi kwa CCM kuwafukuza watu wanaoamini walikisaliti chama chao?
Ccm nimajibu hakuna msafi
Ukiona hivyo ni wazi CCM haikushinda uchaguzi huu na hivyo baada ya kupora Ushindi kwa UKAWA sasa wanawaadhibu wale ambao walichangia kushindwa kwao.
Umenena
 
Back
Top Bottom