Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

kama kweli ndiyo hivyo mambo bado magumu, lakini alishasema hataweza kuachia ngazi mara mbili.
 
images

nec%2B4.jpg

Leo asubuhi katika moja ya thread inayomhusu Lowasa, niliandika kwamba Lowasa ni shujaa na mfano wa kuigwa kwa wenye upembuzi yakinifu. Amejitahidi kuvumilia hadi leo na katika uvumilivu kama binadamu kuna kikomo.

Masuala ya uongozi wa serikali si jambo la mtu moja, ila mmoja ndiye mwenye kubeba lawama. Tatizo la Umeme lilikuwa la nchi nzima na sote tulikuwa na matarajio ya kampuni iliyopata dhamani kufua umeme ingetupunguzia matatizo ya giza badala yake ndo mambo yakaharibika zaidi.

Kwa vyo vyote Mkuu wa nchi anahusika moja kwa moja kwa vile ndiye kichwa cha nchi na ndiye mwajibikaji number one. Kwa vile kinga ya urais kwa mfumo wa nchi yetu inavyohusudiwa kama ufalme, mwandamizi wake katika masuala ya serikali ambaye ndiye waziri mkuu alibeba lawama.

Lowasa alitumia busara na uamuzi mgumu kujiuzuru uwaziri mkuu kwa kulinda heshima yake, serikali yake na chama chake kama alivyosema, lakini uamuzi wake umetafsiriwa vibaya na wabaya wake wamepata hoja ya kusimamia. Mzee Ruksa kipindi cha Nyerere akiwa waziri wa mambo ya ndani alipata msukosuko kama huo hadi kujiuzuru na kwa heshima yake hiyo alifaulu kutetea heshima yake hadi baadaye kuwa Rais wa nchi, na kumbuka Nyerere ndiye aliyempendekeza awe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Tanzania wakati aliboronga katika moja ya wizara aliyomkabidhi. Kuna wengi walioborongo kipindi cha Nyerere lakini katu hawakuinuka tena, hii ilitokana na namna kosa lilivyofanyika na mhusika alivyopokea na kutambua kosa lake.

Makosa mengi mabaya kuliko aliyofanya Lowasa katika utumishi wake yametokea na hakuna hata mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa, na jinsi anavyonyooshewa vidole na akina Nape si uungawana kabisa, wakati hao wanaomnyooshea vidole kichama ni wahaini kwa kuanzisha CCJ ndani ya CCM wakati hawajajivua UCCM.

Leo Lowasa ameanza kufunua baadhi tu ya yaliyofichika, na kama wasingetuliza vichwa mengi angeyatapika. Na hakuna uthibitisho wa ufisadi wa Lowasa, ila ni tuhuma ambazo hazina uthibitisha na hata kama alikosea basi si ufisadi ila uwajibikaji katika utendaji wake, na alitambua hilo na kwa hiari kutokana na msongo toka bungeni aliamua kuachia ngapi ili wengine wajipange upya.

Matokea mtoto wa Mkulima hana uwezo kabisa wa kuchukua uamuzi mzito. Kwa sasa imethibitika kwamba
bora lawama kuliko fedheha. Mtoto wa mkulima ni fedheha tupu ndani ya serikali kuliko lawama za Lowasa.
 
Kikwete alinukuliwa akihitimisha hoja hiyo kwa kusema kwamba: "Jamani hapa tunajenga chama, watu wanasubiri kusikia tukimaliza kikao chetu kwa ugomvi, naomba tumalize kwa amani na twendeni tukajenge chama chetu".
Hiki chama hakitakuja maliza migogoro hata siku moja, ni kuahirisha na kuanzisha mingine. Hapa JK anataka kufunika kombe kwa vile anajua sosi la tatizo linamzunguka mwenyewe hawezi kulikwepa. Tulizoea kusikia upande wa Nape tu aliyekuwa anawakilisha mawazo ya Kikwete sasa tutegemee Lowassa naye ataanza kuzunguka akieleza anayoyajua yeye. Kwa Lowassa kuamua kuanza kujibu mapigo badala ya kukaa kimya ni kuashiria kuwa moto mkubwa mbeleni unakuja.
 
Usichanganye Richmond na Dowans, haikutajwa Dowans kwenye hii habari. Tafadhali sana usipoteze mjadala.

....uwadanganye ambao waliokuwa hawafuatilii deal yote ya mkataba wa kifisadi wa Richmond. Richmond na Dowans Baba mmoja, mama mmoja. Baba yao Rostam Aziz na mama yao ni magamba. Mlidhani Watanzania tutazugika kwa kubadilisha jina la briefcase company kutoka Richmond kwenda Dowans lakini Watanzania tukashtukia uongo wenu na hapa JF kuna ushahidi wa kutosha kabisa katika threads za miaka ya nyuma unaoonyesha kwamba Richmond na Dowans ni baba mmoja mama mmoja.
 
........."kwa hiyo wakati ule kama si busara za kina Mzee Mkapa (Benjamin) leo usingekuwa hapo ulipo”.

Kwa hiyo sababu mkapa alitumia "busara" JK naye atumie "busara" ili E. Lowasa arudi kupewa number "yake" acheze kiungo na sio winga.

kazi ipo
 
Ndio ilivyo sikio la kufa halisikii dawa, tena wamefikia hata kumwambia kaa anataka kuhama ahame wao hawatishiki. NI JK huyu huyu majuzi tu alikuwa akisema (kumuunga mkono Nape) ya kwamba wanaotakiwa kuvuliwa magamba wataondoka!.. maskini kabakia mtupu. Sasa mimi naomba sana nijue hiyo report ya kina Daud Mwakawago maadam Lowassa kaisema nadhani wananchi tuna kila haki ya kudai kujua report ile inasema nini...

Hili ndio tishio la Lowassa kwa JK kwa sababu wanajua swala hili ni wachache na Lowassa kasema kwa mafumbo ambayo JK pekee ndiye anajua kinachoendelea - Akiwa na maana mkuu wangu kumbuka tulikotoka! - Na ukiisoma vizuri hii hotuba ni kutaka muafaka baina yake yeye, Mkapa na Sumaye ili kurudisha Ufisadi wao wote kuwa chama kimoja. Lowassa amekuwa mpole kwa JK lakini mkali na mwenye matusi makubwa kwa Nape kiongozi wa chama ambaye anatimiza majukumu yake..

Mkuu mimi namlaumu JK kwa kuendelea kumpa free airtyme huyu jamaa, yaani alikuwa na nafasi mfano last year wangetoa jina lake kwenye ubunge, next kama walivyofanya kwenye kuwaondoa kwenye CC. Halafu wangemsongesha mahakamani awe bize huko.

Sasa inavyoonyesha JK anaplay uungwana na huyu jambazi ambaye will stop at nothing kutimiza his personal dreams. JK amechelewa kiasi kwamba lolote litakalomtokea EL kwa sasa kuhusu tuhuma za ufisadi itaonekana JK anamwandama.

Politics is so dirty!!!!!!!! Hivi unafikiri ingekuwa ni Mkapa EL angethubutu kubwabwaja maneno kama hayo?
 
nec.jpg

nec%2B1.jpg

nec%2B3.jpg

nec%2B2.jpg

Nani atamfunga paka kengele? Vuvuzela Nape amenyong'onyea , haya sasa kikaoni Kiwete kashambuliwa na Lowasa, sasa ingoma inogile. Kama mfupa ulimshinda mgosi wa kaya pamoja na kutumia majini yote ya pwani, wa kada ya ziwa Mukama ataweza?
 
Mkuu CS,

Kikwete hana ubavu wa kujibu tuhuma dhidi yake kama zilivyotolewa na Lowassa ndio maana anajaribu kufukia mashimo kwa speed kubwa sana kwa kisingizio cha "kujenga chama".

Magamba imeshasambaratika chini ya Kikwete, na hana uwezo wa kujenga chama hicho labda ang'atuke vinginevyo pumzi ya kuleta mshikamano uliovunjika ndani ya magamba hanayo kabisa maana wengi wameshapoteza imani naye kama kiongozi.
 
Kahangwa said:
Kikwete alinukuliwa akihitimisha hoja hiyo kwa kusema kwamba: "Jamani hapa tunajenga chama, watu wanasubiri kusikia tukimaliza kikao chetu kwa ugomvi, naomba tumalize kwa amani na twendeni tukajenge chama chetu".
Hiki chama hakitakuja maliza migogoro hata siku moja, ni kuahirisha na kuanzisha mingine. Hapa JK anataka kufunika kombe kwa vile anajua sosi la tatizo linamzunguka mwenyewe hawezi kulikwepa. Tulizoea kusikia upande wa Nape tu aliyekuwa anawakilisha mawazo ya Kikwete sasa tutegemee Lowassa naye ataanza kuzunguka akieleza anayoyajua yeye. Kwa Lowassa kuamua kuanza kujibu mapigo badala ya kukaa kimya ni kuashiria kuwa moto mkubwa mbeleni unakuja.

Nimeanza kuelewa kwa nn fisadi mkapa alikuwa muoga kuvalia njuga ufisadi. JK naona pamoa na boya la urais naye amejaribu kufanya maigizo lakini anaona mafisadi watazama naye .Pamoja na kwamba ana boya la urais la kuokoa status yake. atafanya U-turn sio kwa manufa ya nchi bali kwa manufaa ya CCM .
 
Leo asubuhi katika moja ya thread inayomhusu Lowasa, niliandika kwamba Lowasa ni shujaa na mfano wa kuigwa kwa wenye upembuzi yakinifu. Amejitahidi kuvumilia hadi leo na katika uvumilivu kama binadamu kuna kikomo.

Masuala ya uongozi wa serikali si jambo la mtu moja, ila mmoja ndiye mwenye kubeba lawama. Tatizo la Umeme lilikuwa la nchi nzima na sote tulikuwa na matarajio ya kampuni iliyopata dhamani kufua umeme ingetupunguzia matatizo ya giza badala yake ndo mambo yakaharibika zaidi.

Kwa vyo vyote Mkuu wa nchi anahusika moja kwa moja kwa vile ndiye kichwa cha nchi na ndiye mwajibikaji number one. Kwa vile kinga ya urais kwa mfumo wa nchi yetu inavyohusudiwa kama ufalme, mwandamizi wake katika masuala ya serikali ambaye ndiye waziri mkuu alibeba lawama.

Lowasa alitumia busara na uamuzi mgumu kujiuzuru uwaziri mkuu kwa kulinda heshima yake, serikali yake na chama chake kama alivyosema, lakini uamuzi wake umetafsiriwa vibaya na wabaya wake wamepata hoja ya kusimamia. Mzee Ruksa kipindi cha Nyerere akiwa waziri wa mambo ya ndani alipata msukosuko kama huo hadi kujiuzuru na kwa heshima yake hiyo alifaulu kutetea heshima yake hadi baadaye kuwa Rais wa nchi, na kumbuka Nyerere ndiye aliyempendekeza awe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Tanzania wakati aliboronga katika moja ya wizara aliyomkabidhi. Kuna wengi walioborongo kipindi cha Nyerere lakini katu hawakuinuka tena, hii ilitokana na namna kosa lilivyofanyika na mhusika alivyopokea na kutambua kosa lake.

Makosa mengi mabaya kuliko aliyofanya Lowasa katika utumishi wake yametokea na hakuna hata mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa, na jinsi anavyonyooshewa vidole na akina Nape si uungawana kabisa, wakati hao wanaomnyooshea vidole kichama ni wahaini kwa kuanzisha CCJ ndani ya CCM wakati hawajajivua UCCM.

Leo Lowasa ameanza kufunua baadhi tu ya yaliyofichika, na kama wasingetuliza vichwa mengi angeyatapika. Na hakuna uthibitisho wa ufisadi wa Lowasa, ila ni tuhuma ambazo hazina uthibitisha na hata kama alikosea basi si ufisadi ila uwajibikaji katika utendaji wake, na alitambua hilo na kwa hiari kutokana na msongo toka bungeni aliamua kuachia ngapi ili wengine wajipange upya.

Matokea mtoto wa Mkulima hana uwezo kabisa wa kuchukua uamuzi mzito. Kwa sasa imethibitika kwamba
bora lawama kuliko fedheha. Mtoto wa mkulima ni fedheha tupu ndani ya serikali kuliko lawama za Lowasa.
Mkuu ni mawazo yako ukiwa mwanachama wa CCM sisi tunatazama tambala hili kutoka nje...Nape kafanya kazi alokabidhiwa na hakuwa mjinga kuinuka na kutaka Lowassa ajiuzulu pasipo kuwepo na maagizo ya kichama ama toka juu. Alipewa kazi hii makhsusi ili kumwangusha kisiasa kazi ambayo CCM ni wazuri sana kuwapa watu madaraka pale wanapojua watashindwa kutiiza..Kwanza vita kubwa ya ndani ni vijana ambao ni tishio kwa vizee vilivyokaa miaka nenda rudi nao walivyo mazuba wanakubali kuendeshwa kwa jina la bendera.

Halafu Lowassa kwa nini ayazungumze haya ya miaka 15 iliyopita katika mkutano wa CC hali angeweza kabisa kumkumbusha JK kwa barua ama wakiwa faragha. Kilitokea nini mwaka 1997 mbona hamsemi isipokuwa mnatuacha sisi tukisie tu kwamba JK alifanya jambo baya sana ambalo lingemwigiza matatizoni na yeye kama mshauri wa Mkapa aliweza kuyapoza.. Ati Leo asingekuwepo!...Wewe Mungu? na ndio majibu ya JK kulingana na imani yake Sii Mkapa wala Lowassa ambaye angeweza kuhukumu destiny yake..

Hii ni kashfa kubwa sana kwa rais wetu hayo makundi yenu nyuma ya Lowassa mtakuja jimaliza zaidi na beleive me JK haja solve kitu. Watanzania kwa ujumla wetu hatudanganyiki na watu wanaokitawala chama kuja vunjia heshima kiongozi wa Taifa ktk mkutano, maneno ambayo hakuna kiongozi yeyote mwenye uthubutu wa kuyasema kama sii kumtishia rais kitu gani...

Nape walitishia kuondoka na kuunda CCJ kwa sababu walipinga Ufisadi wa baadhi ya watu, leo nyie mnawakumbatia na kuwaita washujaa (mnanunuliwa kwa shanga) ati hawa waloona mabaya ni wasaliti.. Poleni sisi wengine tulishaondoka CCM zamani na wala hatuoni usaliti bali tunaitafuta haki na utawala unaojali maslahi ya Taifa.. Siasa za kubebana sii uzalendo wala utiifu bali ni ujinga, uroho na ulimbukeni..

Mwisho wa yote amefanikiwa kuyapata aloyataka na JK kavunja kikao cha Mafisadi na hivyo kumpa ruksa Lowassa kuanza kutimiza hasira yake maanake hamumjui huyu mtu alivyo na roho mbaya na visasi - Atawachafua kuliko kila kiti..Huyo Mtoto wa Mkulima unayemdharau ndiye kawashika wengi viongozi laa sivyo wengi wangekwisha malizwa na EL..Ni ushauri wangu tu mnaweza uchukua ama kuuacha lakini CCM haikuwa na matatizo haya kabla ya Lowassa kuwa na nguvu hii ndani ya chama.
 
Mkuu ni mawazo yako ukiwa mwanachama wa CCM sisi tunatazama tambala hili kutoka nje...Nape kafanya kazi alokabidhiwa na hakuwa mjinga kuinuka na kutaka Lowassa ajiuzulu pasipo kuwepo na maagizo ya kichama ama toka juu. Alipewa kazi hii makhsusi ili kumwangusha kisiasa kazi ambayo CCM ni wazuri sana kuwapa watu madaraka pale wanapojua watashindwa kutiiza..Kwanza vita kubwa ya ndani ni vijana ambao ni tishio kwa vizee vilivyokaa miaka nenda rudi nao walivyo mazuba wanakubali kuendeshwa kwa jina la bendera.

Halafu Lowassa kwa nini ayazungumze haya ya miaka 15 iliyopita katika mkutano wa CC hali angeweza kabisa kumkumbusha JK kwa barua ama wakiwa faragha. Kilitokea nini mwaka 1997 mbona hamsemi isipokuwa mnatuacha sisi tukisie tu kwamba JK alifanya jambo baya sana ambalo lingemwigiza matatizoni na yeye kama mshauri wa Mkapa aliweza kuyapoza.. Ati Leo asingekuwepo!...Wewe Mungu? na ndio majibu ya JK kulingana na imani yake Sii Mkapa wala Lowassa ambaye angeweza kuhukumu destiny yake..

Hii ni kashfa kubwa sana kwa rais wetu hayo makundi yenu nyuma ya Lowassa mtakuja jimaliza zaidi na beleive me JK haja solve kitu. Watanzania kwa ujumla wetu hatudanganyiki na watu wanaokitawala chama kuja vunjia heshima kiongozi wa Taifa ktk mkutano, maneno ambayo hakuna kiongozi yeyote mwenye uthubutu wa kuyasema kama sii kumtishia rais kitu gani...

Nape walitishia kuondoka na kuunda CCJ kwa sababu walipinga Ufisadi wa baadhi ya watu, leo nyie mnawakumbatia na kuwaita hawa waloona mabaya ni wasaliti.. Poleni sisi wengine tulishaondoka CCM zamani na wala hatuoni usaliti bali tunaitafuta haki na utawala unaojali maslahi ya Taifa.. Siasa za kubebana sii uzalendo wala utiifu bali ni ujinga, uroho na ulimbukeni..

Mwisho wa yote amefanikiwa kuyapata aloyataka na JK kavunja kikao cha Mafisadi na hivyo kumpa ruksa Lowassa kuanza kutimiza hasira yake maanake hamumjui huyu mtu alivyo na roho mbaya na visasi - Atawachafua kuliko kila kiti..Huyo Mtoto wa Mkulima unayemdharau ndiye kawashika wengi viongozi laa sivyo wengi wangekwisha malizwa na EL..Ni ushauri wangu tu mnaweza uchukua mama kuuacha lakini CCM haikuwa na matatizo haya kabla ya Lowassa kuwa na nguvu hii ndanio ya chama.

Hoja tunayokataa sisi hapa ni kule kunyoshewa kidole watu watatu na wakati ndani ya CCM nzima ni uvundo tupu. Vijana wenyewe akina Nape na wenzake kama wana ubavu si wangetoka nje ya CCM na kuanza kuwanyooshea vidole badala ya kuanzisha chama cha CCJ wakati wako ndani ya CCM kitu ambacho ni usaliti wa hali ya juu na tabia ya ukinyoknga. Vijsent tulisimamia kwenye account ya kisiwa cha UK, lowasa Richmond.

Lakini siri ni kwamba account hizo ni za CCM wanaoiba pesa za serikali na kuzificha nje ya nchi kwa kufungua account za watu binafsi. Ndio maana unamwona vijisent katulia tuliiii, Mnadhimu wa jeshi nchini Abdalah Shimbo anapeta tu na account yake ya mabilioni nchini Afrika kusini, yote hayo ni mapesa ya CCM, vinginevyo wasingethubutu kuachwa na kufunikwa kana kwamba hakuna kinachoendelea.
 
Mkuu mimi namlaumu JK kwa kuendelea kumpa free airtyme huyu jamaa, yaani alikuwa na nafasi mfano last year wangetoa jina lake kwenye ubunge, next kama walivyofanya kwenye kuwaondoa kwenye CC. Halafu wangemsongesha mahakamani awe bize huko. Sasa inavyoonyesha JK anaplay uungwana na huyu jambazi ambaye will stop at nothing kutimiza his personal dreams. JK amechelewa kiasi kwamba lolote litakalomtokea EL kwa sasa kuhusu tuhuma za ufisadi itaonekana JK anamwandama. Politics is so dirty!!!!!!!! Hivi unafikiri ingekuwa ni Mkapa EL angethubutu kubwabwaja maneno kama hayo?

Mkuu , Nafikiri somo limeleweka!! Tatizo alilokuwa nao Jk kwa juu juu linamfanya sometimes kuonekana kama dictator lakini kiuweli sio hivyo. Kinyume chake ndio sahihi, Peolple pleaser wanapelekea matokeo sawa na ya dictator kwenye jamii lakini in a Passive way!! Kwani yanalea au Kujenga DICTATOR!!.. Kama amabaye soon anaweza kutokea!!!

"People Pleasers" Pay a High Price

Vijai P. Sharma, Ph.D​

"The disease to please," as psychologist Harriet Braiker likes to call it, is a form of addiction. Just as a drug addict seeks drugs, a people pleaser seeks approval.

We should help others and try to make them happy. Give for the pleasure of giving. But, the need to please others at all cost at all times, and be everything to everyone are actions of a desperate person. People pleasers are desperate people. Compulsive pleasing is different from an altruistic desire. Such a compulsion has serious physical and emotional consequences in the long term.

Do your actions stem from your own desire to please others or, because they make demands on you and you must oblige? It takes two to tango. A people pleaser is often hooked up with a person with un-appeasing demands.

The compulsion to please others is maintained by various "musts" and "shoulds" related to others. Here are a few examples of "musts" to which the people pleaser reacts:
"I must always do what others want of me."
"I must always put others before me."
"I must never say "No" to anyone.

Here are a few examples of "shoulds" that the people pleaser expects of others:
"They should always like me because I try so hard to please them."
"They should never criticize me because I always try to live up to their expectations."
"They should never treat me unfairly because I am always so nice to them."

These musts and shoulds, if we are not watchful, can become the slave drivers. They'll make you sweat and still be never appeased. Tell these slave drivers that you don't have to be liked by everyone. Tell them that, sometimes, your needs may have to take precedence over someone else's. Don't let others take advantage of you for the fear that you won't be able to survive their rejection.

Are you afraid that if people didn't need you, you'd be expelled to the dark abyss of loneliness? So, do you always have to do something to be needed by others? On occasion, it's better to risk other's displeasure or even anger because what you want to do is the right and the fair thing to do.

Do you experience feelings that are disagreeable or negative? Such feelings don't always have to be buried in a secret chamber. There is a way to express them in a thoughtful and considerate way. Totally suppressed negative feelings tend to turn into such things as headaches and sore muscles or into anxiety and depression. But, controlled expression and tactful confrontation tends to improve relationships. If you're really upset with someone, the worst thing you can do to yourself is to try to please him or her.

You don't have to meet the demands and expectations of others if they are unreasonable, unrealistic or unfair. The trouble with being too nice all the time is that you can't be yourself at any time. When you can't be yourself, at least, for majority of the time, the psychological and physical tension can wear you out.

Don't say "yes" when you really want to say "no." Let's say someone invites you and you don't want to go. But, you also don't want to bluntly say "no." Buy some time. Say something like, "I might have a conflict. Let me check." ...

To be liked by everyone all the time is untenable. If you're liked and approved the majority of the time by people important to you, you're doing well...

"People Pleasers" Pay a High Price
 
Kuna mkanganyiko hapa. Kikwete aliwahi kusema "haijui Richmond/Dowans" na sasa aliyekuwa mshauri wake wa karibu (PM) anasema yeye (Kikwete) alipata ushauri wa makatibu wakuu kabla ya kuingia mkataba. Huenda JK anaendeleza usainii wake ambao sasa umeanza kuonyeshwa
 
Back
Top Bottom