Lowassa ahudhuria tukio la kuwekwa wakfu Askofu Jackson Nasoore wa Nairobi Kenya

Hivi nia ya uzi huu ni nini? Jee Lowasa amehudhuria kama Waziri Mkuu Mstaafu? Hakuna sababu yo yote ya kutaja ustaafu wake. Kama angekuwa anahudhuria kwa niaba ya serikali hapo ndiyo ungetaja ustaafu wake.
Nenda mahakamani upinge basi maana unaonekana kukerwa na mh lowasa kuitwa waziri mkuu mstaafu wa tanzania
 
Hivi nia ya uzi huu ni nini? Jee Lowasa amehudhuria kama Waziri Mkuu Mstaafu? Hakuna sababu yo yote ya kutaja ustaafu wake. Kama angekuwa anahudhuria kwa niaba ya serikali hapo ndiyo ungetaja ustaafu wake.
Ukabila utakutafuna sana ! Mmeua albino wote mmemaliza , mmeuana wenyewe kwa wenyewe huko geita , mkammaliza Mtume Alphonce Mawazo , sasa mnakuja na huku kutupangia aya za kuandika siyo ?
 
huyu lowasa baada ya kuona magufuli amekutana na raila odinga na yeye anataka kujipendekeza kwa kenyata...hakuna kitu alichofuata huko Zaidi ya kupeleka uchonganishi na umbea
 
Wakati hapa baadhi ya watu hasa wa lumumba wanambeza naona hapo kwenye picha wanajeshi wa kenya wanampigia saluti!!!!!!
Anapigiwa Saluti kwa kuwa Jakaya Kikwete alimtunuku Uwaziri Mkuu sio kwa kuwa alikuja kuwafundisha kuzungusha Mikono na kufagia barabara 2015
 
Anapigiwa Saluti kwa kuwa Jakaya Kikwete alimtunuku Uwaziri Mkuu sio kwa kuwa alikuja kuwafundisha kuzungusha Mikono na kufagia barabara 2015
Huyo ndiye rais wa mioyo ya mamilioni ya watanzania
1467550809424.jpg
 
Wakati hapa baadhi ya watu hasa wa lumumba wanambeza naona hapo kwenye picha wanajeshi wa kenya wanampigia saluti!!!!!!
Wanajeshi wakenya wa nampigia saluti kama wanavyofanya kwa Raila Odinga, former PM wa Kenya.
Ni kweli anaendelea kuheshimika ndani na nje ya nchi toka kwa watu wa aina yake.
 
Wanajeshi wakenya wa nampigia saluti kama wanavyofanya kwa Raila Odinga, former PM wa Kenya.
Ni kweli anaendelea kuheshimika ndani na nje ya nchi toka kwa watu wa aina yake.
Kukubali ukweli ni ushujaa pia
 
Rais wa Mioyo yenu kuanzia 2010 mlietaka kutuuzia Kanyaboya Wa tanzania tukastuka leo mnamkana
Rais wa mioyo ya mamilioni ya watanzania ni lowasa,hizo habari za slaa peleka kwenu huko ccm uvccm imani
 
Back
Top Bottom