Lowassa afunika Iringa

lowasa na jembe...2015 ccm waktaka ushndi wampe LOWASA Wakikosea kwa sababu ya chuki bnafs za kna membe watajuta
 
Bwana Habibu kama huyo babu yako ndo Rais labda kwa bibi yako na wewe tu,nakwambia wazi kama watanzania tumeshakuwa wanywagongo wote kama babu yako basi mamvi tutampa huo urais eti mchapakazi umerogwa nini mchapakazi kwenye kutuibia rasilimali zetu.Wacha ujidanganye, na ataishia kuhonga makanisa yote nakwambia hatujafikia kwenye huo ujinga wa kunywa matope na maji yangalipo.
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

Kwa hiyo alialikwa kama mbunge wa Monduli, au mNEC wa CCM, au waziri mstaafu, au waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi, au kwa sababu ana hela sana?
 
Maskini Mchungaji wa nguruwe hajaalikwa! Yuko bize kutetea vimini vihalalishwe Zanzibar.
 
Who committs fraud? Personality traits: Overly friendly, wheeler & dealer, have a "beat the system" attitude and so on! Behavioral characteristics: one of them is active in fundraising in churches & prestigious clubs.......Dear Tanzanians, it is time now to be aware of mr. fraudulent politician.
 
dunia imekwisha,fedha chafu zinapelekwa kanisani siku hizi!

jambazi linakimbilia makanisani.

FISADI anajificha kanisani

WOTE nyie mtachomwa MOTO kwa kukumbatia MAFISADI
 
Duh kila siku harambee za kanisani ni yeye tu, Bila shaka ni utekelezaji wa ilani fulani ambayo itakuwa wazi siku si nyingi au ishakuwa wazi wana JF?. Ok wadanganyika ngoja tusubiri.
 
HhHAha! nchi inamambo hii we acha tu sahizi Mr.Mamvi ameshakuwa muadilifu loh.....
 
Waziri mkuu aliyejiuzulu tu inatosha, sasa tukianza kutoa sababu za aliejiuzulu kwa sababu hii na ile itakuwa kazi, hasa ukiangalia jambo lenyewe linalozungumziwa wala hakuna haja ya yote hayo, halafu kitu kingine ikumbukwe tu hakuna haja ya kumuandama mtu kwa mazuri anayoyafanya pindi apatapo nafasi, kwa hili Ben naomba siasa ikae pembeni.
 
Na isomeke:Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya ufisadi.

Waziri mkuu aliyejiuzulu tu inatosha, sasa tukianza kutoa sababu za aliejiuzulu kwa sababu hii na ile itakuwa kazi, hasa ukiangalia jambo lenyewe linalozungumziwa wala hakuna haja ya yote hayo, halafu kitu kingine ikumbukwe tu hakuna haja ya kumuandama mtu kwa mazuri anayoyafanya pindi apatapo nafasi, kwa hili Ben naomba siasa ikae pembeni.
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

this is a ----. Watu walishaandaliwa halafu unakaa kusifia mapokezi ambayo yaliandaliwa kwa fedha. Inanikumbusha ndugu yangu ambaye aliazimia kufanya biashara ya mitumba na akanunua 'balo' moja na akaanza 'kuliuza' kwa kujipangia bei zake mwenyewe na akalzinunua nguo zote yeye mwenyewe na baadae kutangaza kwamba amepata faida nzuri na kwamba biashara ya mitumba ni yenye faida nono sana. Kwa vile chaguzi hazifanyikii nyumba za ibada, ambazo sasa hutumiwa kama chombo cha kutakatisha fedha haramu, sioni mileage atakayoipata fisadi huyu!

wacha waumini wale fedha zao zilizoibiwa kutoka kwenye kodi zao. In any case, nchi hii haiko tayari kuendekeza impunity na yaliyotokea arumeru mashariki ni tahadhari tosha kwa mwenye akili zake.
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.
Naomba nikurekebishe kwanza, sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejiuzulu kwa kashfa ya yeye kuibia serekali mabilioni ya shilingi.kupitia kampuni zake hewa za mfukoni Richmond na dowans.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom