Lowassa acha ubinafsi kwenye maendeleo unasema ulifanya wewe kwenye matatizo unasema

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Kwa muda mrefu sasa nimemsikiliza Mgombea wa chadema kupitia mwamvuli wa ukawa bwana lowassa akipita sehemu nyingi na kusema serikali ya CCM haijafanya kitu.Mara nyingk sehemu hizo hua ni zile ambazo yeye hakuhusika kuleta maendeleo lakin akipita sehemu ambazo alihusika katika kuleta jambo fulani basi utamsikia anasema yeye binafsi ndo alileta jambo hilo mathalani juzi alipokua wilayani hanang alisema yeye ndo alileta maji ...Sasa swali la kujiuliza hapo ni alileta maji akiwa ndani ya chama gani au huo uamuzi aliufanya bila kupata baraka za maboss wake (RAIS) ambaye pia ni mwenyekiti wake wa CCM taifa??Namshauri ndugu lowassa aache ulaghai , uongo na ubinafsi huezi kusema eti wewe kama wewe ulifanya jambo fulani na sio serikali .Huu nauita ni ubabaishaji wa kisiasa penye ukweli wacha ukweli useme na sio kuwaongopea wanachi.
 
Lowasa kasoma degree ya sanaa kwahiyo msishangae sana kufanya anachofanya ni kawaida yake.
 
Kinachonikera zaidi alipata kuongoza wizara iliyohusika na kuondoa umasikini lakini hakuleta impact yoyote,halafu leo anajinadi kukerwa na umaskini.
 
Anafikir wote tunamatatizo ya kupoteza kumbukumbu kama alivyo yeye.

Hayo aliyofanya amefanya kwa hela ya mama yake?
Awadanganye ngombaro wanaomuunga mkono. Eti ccm haijafanya kitu sasa kwanini alibakia huko miaka yote? Na kwann aliamua kugombea urais kupitia ccm wakat anajua kule kunamfumo utakaomwongoza ili azidi kutofanya kitu kama ambavyo yeye anadai?
 
Kwa muda mrefu sasa nimemsikiliza Mgombea wa chadema kupitia mwamvuli wa ukawa bwana lowassa akipita sehemu nyingi na kusema serikali ya CCM haijafanya kitu.Mara nyingk sehemu hizo hua ni zile ambazo yeye hakuhusika kuleta maendeleo lakin akipita sehemu ambazo alihusika katika kuleta jambo fulani basi utamsikia anasema yeye binafsi ndo alileta jambo hilo mathalani juzi alipokua wilayani hanang alisema yeye ndo alileta maji ...Sasa swali la kujiuliza hapo ni alileta maji akiwa ndani ya chama gani au huo uamuzi aliufanya bila kupata baraka za maboss wake (RAIS) ambaye pia ni mwenyekiti wake wa CCM taifa??Namshauri ndugu lowassa aache ulaghai , uongo na ubinafsi huezi kusema eti wewe kama wewe ulifanya jambo fulani na sio serikali .Huu nauita ni ubabaishaji wa kisiasa penye ukweli wacha ukweli useme na sio kuwaongopea wanachi.

Wewe kama nani unaongea? Mbona magufuli anajisifia amejenga barabara Tanzania
 
Wewe kama nani unaongea? Mbona magufuli anajisifia amejenga barabara Tanzania

Mkuu hoodrich hii post imeletwa na naibu katib uvccm. Hivyo wanaishupalia ili walau boss aonekane katengeneza page nying hapa jf na pia bila kuichangia hakuna posho! Mtoa post ndiyd chief accountant wa uvccm. So hakuna kipya kutoka chama cha zamani! Dust tupu
 
Mkuu hoodrich hii post imeletwa na naibu katib uvccm. Hivyo wanaishupalia ili walau boss aonekane katengeneza page nying hapa jf na pia bila kuichangia hakuna posho! Mtoa post ndiyd chiefM accountant wa uvccm. So hakuna kipya kutoka chama cha zamani! Dust tupu

Mkuu mtengeti nimekupata vzr. Dust tupu
 
Back
Top Bottom