Wanaowaunga mkono wana maslahi yao binafsi.Hivi wewe unaishi nchi gani hata hujui yanayojili?je unafahamu kuwa aliwahi kuwa PM?ni kwanini aliacha?je unafahamu msimamo wa baba wa taifa juu yake?je fedha anazotoa kila siku makanisani na kwenye matamasha kazipata wapi?je huu ni wema wake tu au anategemea return fulani?na kwanini utumie hela nyingi hivyo kuutafuta uraisi?Ikulu kuna biashara gani itakayokurudishia hela zako.Funguka macho,chukua hatua...