Lowasa usituchakachulie mayor tunakuomba

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Najua Kiranja EL ana interest kubwa sana na jimbo la Arusha hivyo huwa anahakikisha anashiriki kwenye rough zote za kumpata Mbunge, Mayor na Mkurugenzi wa manispaa. This one is beyond daubt, I know A town politics.

Alishiriki sana katika hila za kumtoa Mrema ili mama achukue kiti lakini bahati mbaya mama nae akakosa. Sasa nguvu zimehamia kwenye mayor wa Arusha ambae bwana Paul aka Afro anapigiwa kampeni za udi na uvumba. Last two months EL aliita business men wa Arusha wakiwamo wa mawe na utalii kwenye special lunch pale TGT restaurant and there was only one agenda - Mchakato wa kumfanya Paul kuwa Mayor wa Arusha. He managed to raise funds from businessmen lakini sijui zitatumika wapi hizo funds.

Ombi langu ni moja - siyo lazima kila kiti kichakachuliwe vingine tuwache mkondo utawale. Nawakilisha
 
kama alishindwa kuwapa watu wa arusha mbunge hawezi pia kuwapa meya, el ashindwe kwa jina la mola.
 
Zamani nilivyokuwa mtoto baba alinidanganya ukiona mtu ana mamvi kama ya lowassa ujue kama si profesa basi ni daktari i mean p.h.d holder na anakuwa na busara kweli.kumbe vice versa is true?
 
Zamani nilivyokuwa mtoto baba alinidanganya ukiona mtu ana mamvi kama ya lowassa ujue kama si profesa basi ni daktari i mean p.h.d holder na anakuwa na busara kweli.kumbe vice versa is true?


hahaha!

baba yako fix.

au jina lako 'la nyumbani' ni jina la babu yake, so alikuwa anakufanyia masihara.
 
hahaha!

Baba yako fix.

Au jina lako 'la nyumbani' ni jina la babu yake, so alikuwa anakufanyia masihara.
siyo masihara mkuu lowasa ni mojawapo wa wanasiasa dormant kweli sijui ana nini huyu bwana na tanzania yetu hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom