Elections 2010 Lowasa, Sumaye, Mwinyi, Rose Migiro, Lipumba na Slaa nani zaidi 2015?

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na usalama.Mtoto wa rais mstaafu.4. R.Migiro(PhD)-naibu katibu mkuu UN5. I.Lipumba(Prof)-M/kiti CUF, Mchumi.6. W.Slaa(PhD)-Katibu mkuu CHADEMA, Mwanaharakat/mwanamageuzi. Toa maoni yako nani anatufaa 2015 bila kujali JINSIA, DINI, KABILA wala ITIKADI YA CHAMA.
 
mwinyi sio PHD holder ni daktari wa binadamu au nimekosea mimi ndiyo ninavyojua
 
Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na usalama.Mtoto wa rais mstaafu.4. R.Migiro(PhD)-naibu katibu mkuu UN5. I.Lipumba(Prof)-M/kiti CUF, Mchumi.6. W.Slaa(PhD)-Katibu mkuu CHADEMA, Mwanaharakat/mwanamageuzi. Toa maoni yako nani anatufaa 2015 bila kujali JINSIA, DINI, KABILA wala ITIKADI YA CHAMA.
sijui hapo kwenye red ulikuwa na haraka au???
 
ni kweli umechakachua mno. Tuanze na hivi
1. lowasa- hana sifa za kuwa raisi wa tanzania ni mchafu kuliko unavyo fikiria
2. huseni mwinyi- sijaona mchango wake katika nchi hii kwanza alitakiwa awe amekwisha jiuzuru kutokana na mabomu ya mbagala na gongo la mboto, c muwajibikaji, au umemuweka kisa mtoto wa raisi msataafu? Basi unge muweka na ridhiwani pamoja na makongolo nyerere
3. sumaye , huyu ni fisadi sana kipindi ubinafishaji umeshika kasi enzi za mkapa alijibinasifishia mali nyingi sana za uma, unge kuwa arusha ungeelewa zaidi story zake
4. nchimbi- hana uwezo wa hata kuwa waziri mkuu, sijui umelenga nini katika kuwa teua hao watu, tupe mchango wake katika taifa hili, ameifanyia nini tanzania?
5. lipumba- huyu ameisha choka sana na ukizingatia cuf wako kwenye ndoa na ccm huyu haamniniki tena ni ndumila kutatu. Ccm b
6.migiro- huyu nae kuwa naibu katibu mkuu wa un c kwamba ni cheo kikubwa sana, na hata cheo cha katibu mkuu wa umoja wa mataifa huwezi linganisha na cheo cha uwaziri mkuu, sifa ya migiro kuteuliwa ilikuwa moja tu, alikuwa waziri wa mambo ya nje pekee mwanamke katika nchi masikini, kama sikosei walikuwa wawili pamoja na wa south africa but bank mun akaona amchukue migiro, na hata hivyo kule un yeye hana say yoyote, ulisha wahi kumsikia hata cnn akitoa tamko? Yeye ni kama alivyo uingereza malikia na waziri mkuu.
7. dr slaa- hapa sina coment kabisa na sina uwezo wa kukoment hapa.
 
Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na usalama.Mtoto wa rais mstaafu.4. R.Migiro(PhD)-naibu katibu mkuu UN5. I.Lipumba(Prof)-M/kiti CUF, Mchumi.6. W.Slaa(PhD)-Katibu mkuu CHADEMA, Mwanaharakat/mwanamageuzi. Toa maoni yako nani anatufaa 2015 bila kujali JINSIA, DINI, KABILA wala ITIKADI YA CHAMA.

Mkuu do youself a favour. Badala ya kuuliza Lowasa, Sumaye, mwinyi, Migiro Lipumba Slaa, etc nani zaidi 2015, think yourself what will be doing for this country by 2015. Au na wewe tayari una Ph.D kama wao?
 
Huyo Dr Slaa na Phd ya Ekaristi Takatifu kutoka Rome nae awe Rais wa Tanzania? Au anakua Rais wa TEC?
 
MWINYI hakufanya intern hivyo hajasajiliwa na hatambuliki na baraza la madr, sasa hiyo phd kaitoa wapi au anajigawia kama kaka yake huyu jamaa harusiwi hatakumwandikia mgonjwa asprin. waje na udini wao tutawatupilia mbali
 
umechakachua sana
umetumia vigezo vipi kuwaweka baadhi ya watu hapo?
1. Lowsa- huyu ni fisadi namba moja tza ni mchafu sana na ana tamaa sana anaweza fanya tz kama dhamana yake ya kukopa kwa wazungu

2. Nchimbi- huyu ni waziri wa utamaduni- hana sifa ya aina yoyote ile ni sawa.

3. Huseni mwinyi- hana cha maana alicho fanya katika nchi hii, au kwa sababu ni mtoto wa raisi mstafu? Basi unemuweka hata ridhiwani pamoja na makongoro nyerere

4. Sumaye- sifa za sumaye na lowasa haziachani sana, sumaye arusha wanamfahamu sana ni fisadi mkubwa sana na yeye,

5. Migiro- hata yeye hana sifa, kuwa naibu katibu mkuu wa un jamani si cheo kikubwa sana, hamjui principal za un? Bank moon mwenyewe cheo chake kina zidiwa mbali sana na cheo alicho nacho rasi wa benk ya dunia au mkurigenzi wa imf, kama migiro angekuwa naibu raisi wa benk ya dunia hapo ninge kubali. Je ulisha wahi msikia hata cnn akitoa tamko? Pale un yeye hana kazi mwenye kazi ni bank moon.. Migiro c kwamba anaongoza mataifa yote duniani un haina pricipo hizo. Make kuna watu wnafahamu hivyo kwamba anaongoza nchi zote ulimwenguni kitu ambacho c sahihi
.6. Dr slaa- hapa no coment.

Kwa kifupi hao ulio waweka hapo huwezi washindanisha na dr s. Angalia mchango wa mtu mmoja mmoja katika nchi hii, usiangalie tu kwamba yeye sijui ni nani
 
2015 bado ni karibu saana kufikiri kua atakae cover hio nafasi ataleta changes...
Nafasi tuliopo saizi ni tete mno na kurudisha mpaka ikae sawa Wa Tz tukaridhika kazi ipo..
Na hata chama kigeni kiingie kwa miaka mitano ya kwanza badala ya kufanya changes
watakua wamekazana kuadhibu waliopo madarakani juzi, jana na leo so long as wana link na magamba..
Maana woote hao wamekaa ki siasa siasa tu... No uzalendo..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
huyo dr slaa na phd ya ekaristi takatifu kutoka rome nae awe rais wa tanzania? Au anakua rais wa tec?

wewe ya kwako ya ukweli iko wapi? Kwanza wewe utakuwa na vyeti vya kuunga unga sana hapo ulipo una diploma lakini una vyeti kama 100 hivi.
 
Back
Top Bottom