Lowasa nae mgonjwa?

Sabato masalia

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
228
134
siku ya mazishi ya hayati Sumari nimemuona mheshimiwa pm mstahafu bwana Lowasa amebadilika sana kiafya tena nilivyomsogelea kumtazama anasalimia na watu kadhaa namuona anatetemeka ile tetemeka ya kuumwa vipi mzee nae ana sukari nini?
 
Nasikia mafisadi na wote walioiba kura mwaka jana kufikia 2012 hawatakuwepo duniani
 
magonjwa ndio mitihani ya Mola, Lowasa,mwakyembe,mwandosya na hata Chami hawako vizuri kiafya Mola awabariki na kuwapa afya njema aamiin
 
Lowassa anaumwa sana,wapambe wake hawajui tu na ndio wanaommaliza kwa kumpeleka story za kumpasua kichwa kila kukicha kwa maslahi yao binafsi,kuna watu wanaamini bila kuwa rais maisha yao yatakua magumu sana,wengi hawana uwezo wanategemea kubebwa na lowassa,mbaya zaidi kati ya wapambe wake hao wanaoshiriki kummaliza lowassa bila kujua yumo mwanae pia,nae anasukumwa na maslahi binafsi na ushindani wake na swahiba wake Ridhiwani jk,kuna viapo huwekeana kila wanapokutana au kutextiana..
 
Yule mchungaji wa pale mwenge, Mwingira, alishatabiri hii maneno na kakobe pia. Watakwisha hawa wezi
 
Hatuna hela kufanya chaguzi ndogo. Mungu awajalie afya njema. Amen
 
Hii akiiona yule mchumia tumbo na mnafiki Pasco atazimia!!
Mleta thread una mashitaka ya kujibu asipozinduka!!
Ngoja aje uone.........!!
 
Lowassa anaumwa ugonjwa wa ufisadi na hatapona kwa sababu ufisadi upo kwenye damu yake!

Ukimuona uso kababuka utafikiri anatumia mkorogo uliochanganywa na jik. Akiongea lips zinatetemeka ka mlevi wa gongo,Ana dalili zote za kuwa na mawe kwenye gall blader
 
daah nimemuona leo mzee afya yake inahitaj uangalizi wa karibu..mungu umpe afya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom