Lowasa mbunge asiye na mchango bungeni

SubiriJibu

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
1,803
1,863
Sijui wakati mwingine humu jamvini tunakumbatia tabia ya kugeukageuka.

Kuna wakati ilianzishwa thread hapa ya wabunge ambao hawana verbal contribution yaani ama wameongea mara tatu tu katika miaka kadhaa.

Wapo ambao walishika mkia kwa kutoongea kabisa.

Leo ameibika mbunge mmoja anaitwa Edward Lowasa ambe tangu Feb. 2008 hajaongea mle bungeni.

Nilidhani utakuwa muda mzuri wa kumuweka kwenye ile list ya wabunge wazembe ambao hawajongea kwa zaidi a miezi 24.

Badala yake kele zilizopigwa humu na nchini kote utadhani Lowasa ndiye anayeogoza kwenye list a wabunge waongeaji mle bungeni.

Mimi nadhani tuache ukigeugeu tuendeleze ile list yetu.
 
aliyewambia serikal wafanye maamuzi magumu ni nani kama sio lowasa......kama umemaliza kifungo chako we sema tukukaribishe uraiani
 
Sijui wakati mwingine humu jamvini tunakumbatia tabia ya kugeukageuka.

Kuna wakati ilianzishwa thread hapa ya wabunge ambao hawana verbal contribution yaani ama wameongea mara tatu tu katika miaka kadhaa.

Wapo ambao walishika mkia kwa kutoongea kabisa.

Leo ameibika mbunge mmoja anaitwa Edward Lowasa ambe tangu Feb. 2008 hajaongea mle bungeni.

Nilidhani utakuwa muda mzuri wa kumuweka kwenye ile list ya wabunge wazembe ambao hawajongea kwa zaidi a miezi 24.

Badala yake kele zilizopigwa humu na nchini kote utadhani Lowasa ndiye anayeogoza kwenye list a wabunge waongeaji mle bungeni.

Mimi nadhani tuache ukigeugeu tuendeleze ile list yetu.
umepotea sana mkuu
 
Back
Top Bottom