lowasa kuwa spika wa bunge lijalo


fungafunga

fungafunga

Member
Joined
Mar 30, 2010
Messages
71
Likes
31
Points
25
fungafunga

fungafunga

Member
Joined Mar 30, 2010
71 31 25
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwenye chanzo kimoja zinadai eti mzee mzima keshaanza ndogondogo za kuwania u spika.
Hivi ccm wanaweza kweli kuwa na mtazamo huu. Coments plizzzz!!
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
155
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 155 160
teana awanie na u-amplifier, microphone na twitter kabisaaaaa... tumechoka na mtu anayedhani bila yeye tanzania haiwezekani
 
The Dreamer

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Messages
1,280
Likes
0
Points
0
The Dreamer

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2009
1,280 0 0
who cares?
 
B

Babuyao

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2009
Messages
1,734
Likes
32
Points
145
B

Babuyao

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2009
1,734 32 145
Kwani mafisadi wana aibu?? Yawezekana kabisa.
 
O

Obama08

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
182
Likes
0
Points
0
O

Obama08

Senior Member
Joined Sep 17, 2010
182 0 0
hakuna kitu kama hicho, are u kidding? mbona mnamfagilia saaaaaaaaaaaana huyu fisadi, hana lolote na nasema kamwe hawezi kuwa spika period, wabunge almost 85% watamsusa
believe me
 
M

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
1,309
Likes
562
Points
280
M

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
1,309 562 280
Kwani JF wameshakubali kwamba Dr Slaa yuko Chali kwa JK hadi Lowasa awe mbunge?
 
GFM

GFM

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
708
Likes
3
Points
0
GFM

GFM

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
708 3 0
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwenye chanzo kimoja zinadai eti mzee mzima keshaanza ndogondogo za kuwania u spika.
Hivi ccm wanaweza kweli kuwa na mtazamo huu. Coments plizzzz!!
It makes me sick just to hear it. Na CCM wasivyo na aibu watamrudisha, na hao wamasai nao wamemkubali ...........:A S angry:
 
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Messages
5,153
Likes
645
Points
280
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2009
5,153 645 280
Kwa hili somo walilipata ktk uchaguzi huu ccm hawatathubutu kupendekeza jina lake.
 
MNDEE

MNDEE

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2009
Messages
494
Likes
22
Points
0
MNDEE

MNDEE

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2009
494 22 0
Mpaka apigwe mawe ndio atajua tumemchoka.
 
A

AMETHYST

Senior Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
112
Likes
1
Points
0
A

AMETHYST

Senior Member
Joined Sep 25, 2007
112 1 0
Mpaka apigwe mawe ndio atajua tumemchoka.
Wewe umesema vema, kashindwa kumtetea hawala yake leo Arusha ataweza kujitetea kwa wabunge vijana kama Wenje na Mnyika? Ndiyo mzee ndo inaondoka tanzania hivyoo
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
155
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 155 160
Kwani JF wameshakubali kwamba Dr Slaa yuko Chali kwa JK hadi Lowasa awe mbunge?
nadhani itakua utopic kuamini kwamba slaa atashinda... kwa mwendo ulivyo na hata mwenendo mzima wa kuhesabu kura

you will know kwamba voting was gud and counting was not
 
N

nyuki dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
438
Likes
3
Points
35
N

nyuki dume

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
438 3 35
Lowasa hawezi kuwa spika lakini atapandikiza fisadi mwingine kuwa spika kama Chenge ili aje amsafishe
 
E

Epifania

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
133
Likes
0
Points
0
E

Epifania

Senior Member
Joined Oct 18, 2010
133 0 0
Hicho kitu hakitakaa kitokee. Na kama Hao CCM hawajitaki wathubutu kufanya hilo kosa:A S angry:
 
Avocado

Avocado

Member
Joined
Aug 23, 2010
Messages
98
Likes
0
Points
0
Avocado

Avocado

Member
Joined Aug 23, 2010
98 0 0
Anaweza kuwa Spika lakini atakuwa spika wa kwanza BUBU duniani :tape: !!!!
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
64
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 64 135
Mpaka apigwe mawe ndio atajua tumemchoka.
Mkuu kumbuka kuwa this is Tanzania, kuna watu hata wanadiriki kumsifu. Sitashagaa kama tutathibitisha ujinga wetu kwa kumteua kuwa Spika au PM tena. Even worse hata kuchaguliwa kuwa mgombea wa ccm.
 
awesome

awesome

Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
37
Likes
0
Points
0
awesome

awesome

Member
Joined Oct 11, 2010
37 0 0
kwa sasa lowasa ni mweupe kifikra kama nywele zake zilivyo, hapati huo u spika kabisa. labda akagombee ubalozi wa mtaa kule monduli kwao wamasai watampa tena.
 
mdoe

mdoe

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
436
Likes
0
Points
33
mdoe

mdoe

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
436 0 33
uspika no. :nono: Ila kuweka pandikizi anaweza. Hana aibu. ana jeuri ambayo sijui anaipata wapi.
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,233
Likes
7,069
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,233 7,069 280
Spika hii au ipi?

 

Forum statistics

Threads 1,252,114
Members 481,989
Posts 29,795,876