Lowasa kikwazo cha katiba mpya

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Ni edward lowasa wazri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya umeme wa richmond, sasa yupo nyuma ya pazia la kutopatikana kwa katiba mpya, why? Yeye ametumia zaidi ya tshs 345bilioni kuusaka uraisi wa jamhuri ya muungano, andhani katiba mpya itatibua mbio zake urais 2015, tujadili


source: Mazungumzo yangu na yeye monduli wiki hii
 
Atakumaliza ...hujui visa vyake....eh?

MONEY POWER RESPECT......sasa ana kapawa kadogo sana.NA everytime mimba ya power ina tunga anapokonywa mdomoni.JK alimpiga changa la ma cho akauza, Nyerere alimchomoa ktk uhsindi aliouona wazi, sasa CDM wanatishia kabisa ndoto yake.....CCM nao wanapambana na wakaskazini.
 
Hii issue inaweza ikawa ina ukweli ndani yake, ukiangalia haya mabillioni anayotumia kugawa anausaka uraisi kwa nguvu zote. na ole wetu tutanganyike kama jina letu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom