Lowassa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu

Magufuli ni Smart Sana kama wanataka kujaribu kina cha maji kwa mguu Shauri yao.
Magufuli ana u smart kwenye nini ? CCM unaijua vizuri ? Kamuulize Mkapa kwanini hakumuweka Salim A Salim akaingia Jakaya

Hili la mtandao achana nalo kabisa ,hakuna mtu kiburi kama Mkapa ila alinywea

Oh sikai na mafisadi au sijui nani wamejivua gamba halafu mwisho wa siku hao hao mafisadi ndio wanapishana Ikulu

CCM ni wanaharamu na Magufuli analijua hili vizuri ,yeye atumie tu power zake za urais sasa hivi ,wakati hana hiyo kofia ya urais mfano baada ya kulivunja bunge 2020 ndio utawajua wana ccm vizuri ,sasa hivi wanamchekea kwa unafki tu ngoja atoke hapo ndio utashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unataka watu wabadilishe sura ghafla maana hawachelewagi hao
Ndio

Lowasa ni sehemu ya mkakati mkubwa ndani na nje ya Chama wa Kumtoa Magufuli Ikulu.

Wanamtandao sasa wana amani moyoni kwani mwenyekiti wa kamati ya fitina pamoja na katibu wake wako ndani ya nyumba.

Wanamtandao ni wataalamu wa siasa chafu,Mtu pekee anayeweza kuwamudu wanamtandao ni mwanamtandao.Mwanamtandao pekee aliyewashinda wanamtandao ni Kikwete na bado yupo kwenye mtandao tena katika team ile ile ya wazee wa kupika ugali sumu.


Mkakati ni rahis sana hata mtoto wa cheke chea anajua.

Mfanye ajisikie salama.

Wawezeshe Wapinzani kimkakati
Weka wazi makosa yake
Muache wakati wa kampeni ateseke mwenyewe
Mbwage ama kwa kura au kwa rungu

So watanzania mjindae 2021 tutakuwa na sura mpya Ikulu.

In God we trust
 
Back
Top Bottom