Lowasa Kapewa Kamati - Ukichaa wa CCM... Richmond Kaiba Badala ya Jela, CCM Cheo Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa Kapewa Kamati - Ukichaa wa CCM... Richmond Kaiba Badala ya Jela, CCM Cheo Juu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 11, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watanzania wangapi wamekuwa "punk na ccm" Kweli watanzania tumekuwa watu wa namna gani? Huyu Lowasa kaibia Taifa lake na ilijulikana wazi Richmond ilikuwa ya kwake. Kutokana na sheria za Kikwete na ccm hawa wezi ndio wanashika nafasi za kamati nyeti za serikali ya Taifa letu (mambo ya nje, ulinzi na usalama). Hii si dharau na aibu...kesi ya Lowasa na mafisadi waliohusika na wizi wa Richmond iko wapi? Ripoti ya Richmond ipo wapi? Hao hao waliohusika na Richmond leo wanataka walipwe tena kupitia Dowans. Huu ni ujinga wa hali gani? Kuna dharau kubwa kwa Taifa kama hili tukiacha mtu mmoja-JK na wenzake - Rostam kuumiza Taifa kwa hizi mbinu. Huyo Rostam kuhusishwa kote na ulipwaji wa Dowans -anapewa kuongoza kamati bungeni. "Tunaita hii serikali au vichakani, tangu lini ukampa simba akualindie nyama?"

  Hakuna Mtanzania Msahaulifu kwamba Lowasa Alijiudhuru Baada ya Kukamatwa na Documents za Wizi wa Richmond. Kama serikali ya ccm haitawachukulia Atua Yeyote ile Wananchi Tutashughulikia Kikamilifu Kama Egypt
  GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Sitta 'kuwajibika' kwa Edward Lowassa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. M

  Mwadada Senior Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Duu! Ni kweri hii ni hatari sana. Hata hivyo alama za nyakati ziko dhidi yadi yao.time wil tell.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu though mwenye nacho ataongezewa tuuu...................bt shame upon him
   
 4. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM inadharau sana wananchi wake... yaani kweli wanataka kutuambia EL kawa msafi lini???!!! Yaani huo ni moja ya misumari ya jeneza la CCM. Mungu anaona haya... Ni dharau nasema tena NI DHARAU kwa sisi wananchi!!! Halafu bado utaona mijinga inajipanga kuendelea kuisifu CCM... Bull Shit!!!!!!
   
 5. T

  Tata JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,732
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Umesahau kuwa ilishatamkwa kuwa kilichotokea kwa Mh. Lowassa ilikuwa ni ajali ya kisiasa? Kwa kawaida mtu akipata ajali huwa anauguza maumivu na majeraha (kama yapo) yakipona anaendelea na shughuli zake kama kawaida. Ndicho kinachotokea kwa huyu mheshimiwa. Kidumu chama cha mapinduzi.
   
Loading...