Lowasa kama Mbowe; abadili gia angani-aachana na ''BOMU LA AJIRA'' ; aja na ELIMU

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mheshimiwa lowasa ni mtu aliyejipambanua kuwa tatizo kubwa la ajira

akisema ni bomu kwa nchi ; lakini baada ya kuja ukawa ; kabadili jia angani kaja na kipaumbele cha elimu badala ya ajira;

akijuwa wazi tatizo sio elimu; bomu la ajira ndo tatizo.

Swali; kwanini kabadili gia angani???????
 
12031506_122354278122953_6896716732420026088_o.jpg
 
Nikumbukavyo hata safari yake ya matumaini ccm alisema elimu elimu elimu...na bado katika mabadiliko anasema elimu elimu elimu... Usiwe mvivu kufikiri...ili uwe na ajira nzuri lazma elimu elimu elimu iwe bora.

Ni elimu ndio inakupa nguvu ya kudai mshahara mzuri, kupinga uonevu hasa wanawake, kushirikiana na mataifa mengine kiusawa n.k

Kifupi, elimu ni ufunguo.

Na biblia inasema, mshike sana elimu usimuache aende zake.
 
vijana wangapi wana elimu tena ya vyuo na hwana ajira...kwanza amedhalilisha vyuo vyetu kwa kusema wengi wao hawaajiriki nje ya nchi kwa ubora duni wa elimu yetu...huu ni uongo wa mchana saa 7...elimu ya vyuo vyetu bado ni bora kinachotakiwa kuboreshwa ni mazingira na mitaala tu bac
 
Mwingine picha yake itakuwa hivi baada ya kukaidi amri ya polisi ya kuondoka vituoni baada ya kupiga kura wakamshughulikia

attachment.php
 
vijana wangapi wana elimu tena ya vyuo na hwana ajira...kwanza amedhalilisha vyuo vyetu kwa kusema wengi wao hawaajiriki nje ya nchi kwa ubora duni wa elimu yetu...huu ni uongo wa mchana saa 7...elimu ya vyuo vyetu bado ni bora kinachotakiwa kuboreshwa ni mazingira na mitaala tu bac

well said
 
wamekutana wazee wa gia angani???????????????
 
Back
Top Bottom