Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 509
Usijali Mkuu, Naona Prophet ameukimbia mjadala aliouanzisha.Muu uniwie radhi, nilikuwa namlenga Prophet anayeonyesha chuki za wazi kwa kuleta taarifa za majungu ambazo wala hakuzipika vizuri, ila mimi na wewe tunaongea kitu kimoja. Anyway nafikiri vilevile hakuna sheria inayoweka mipaka kwenye biashara as long long as mfanya biashara anasajili kisheria, ana capacity ya kufanya kazi fulani na ana mtaji. Inaonyesha Prophet si mtu makini ajaribu kwenda pale BRELA akachukue Memorandum and Articles of Association za kampuni yeyote aone jinsi wafanyabiashara wanvyoruhusiwa kufanya shughuli mbalimbali kadri ya sheria ya makampuni rura 212.Aunimpe mfano wa Kampuni ya TATA ya India ambayo inaoknekana Tanzania ikijihusisha na biashara ya magari. Huko kwao wapo hadi kwenye viwanda vya madawa, stationery na ujenzi. Kwa hiyo si ajabu Muuza maziwa ya NIDO kutengeneza biashara kama tu ana vigezo