Low price for new high quality projectors. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Low price for new high quality projectors.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MART, Mar 10, 2010.

 1. M

  MART Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Model:Clearco HD9000 Model-with latest LCD Technology from UK.
  Brightness: 1800 lumen!!
  Contrast ratio: 1000:1
  Resolution: compatible with 1024*768 with a 800*600
  Native Resolution.
  Lamp life:8000 hrs(New Technology)
  Projection Distance: 1.5 to 6 metres.
  Projection size: 45"-150 (massive) Zoom function Equipped.
  Body size: 280mm x 230 x 80m (slim-line)
  Interfaces: Video inputs:pC,TV,VIDEO,AUDIO,S VIDEO,SCART ADAPTER AVAILABLE.
  Output: video,Audio
  Speaker:3w stereo speaker
  other functions:keystone correction,auto turn off,built-in TV turner(watch tv at your leisure),ZOOM Function.
  *cheap replacement bulbs(taa)-ziko nyingi na bei nafuu sana kupita projectors zote halafu ni masaa 8000.
  perfect for games:pS2,XBOX and NINTENDO!
  pia ni perfect for business presentations:microsoft power point,Excel or Word.
  Pia unaweza kodisha kwenye shughuli za maharusi,Watch soccer n.k
  -Kwa ma lecturers, mashuleni na vyuoni.
  ** Hii ndio latest technology ya projector ambayo watu wengi wana itumia kwa sasa
  ina connect kwenye DIGITAL TV Yeyote/DSTV

  Note:more special price reductions for educational institutions,churches and all other religious institutions.
  Free delivery within Tanzania.
  For more products' informations and prices please call:0713846454 au 0713363666.

  Thank you.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Umesoma replies za thread uliyopost mwanzo?
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  bei
   
 4. M

  MART Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maulizo yote ya BEI ,piga simu au tuma ujumbe mfupi kwenda kwenye hii namba : 0713 -846454 au
  0713-363666.

  Thank you.
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  ushauri wa bure.
  Kwa kuwa wewe ni mgeni, inawezekana haujafahamu watu wa humu walivyo.
  Hapa watu wanataka price tag ili kabla hawajahangaika kukupigia simu waffanye ulinganifu na kuona kama kuna umuhimu wa kukutafuta! Uki-insist watu wakupigie simu watahisi unaziogopa bei zako mwenyewe, hivyo utawakosa wengi tu. Ungetake time kwanza kujaribu kuangalia adverts za wazoefu wa marketing humu ndani (watu wanauza kila kitu kuanzia mashamba, viwanja, nyumba, magari, na hata vitabu) wanajitahidi kuweka bei na hata picha, inasaidia sana, hata wewe inakuepushia usumbufu wa kupigiwa simu na watu wasiokuwa serious buyers! si unajua wabongo zetu window shopping! Kama unaziamini bei zako weka hadharani, vinginevyo JF (where we dare talk openly ) haitakusaidia sana, na baadaye itabidi ulipe kodi mzee.
  Karibu Jf
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ushauri wako ni mzuri sana, nashangaa huyu muuzaji haoneshi bidhaa zake kwa picha ili tuzione! Sidhani kama kuna umuhimu wa kumpigia simu au kutuma sms kwa mtu kama huyu!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  weka bei, mimi nna mpango wa kuanzisha shule.
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  ugeni ndiyo unamsumbua.
   
 9. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  hawa ndio wale wanataka kutake advantage ya ignorance ya mteja,lakini nasikitika adhma yake haitatimia kwa sababu simply jamii forums is a home of great and deep thinkers.
   
 10. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,211
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hayuko serious!
  Unafichaficha nini au ndo mtu wa kati?weka bei!
   
Loading...