Lovers of English language,Check this out!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lovers of English language,Check this out!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ab-Titchaz, Apr 21, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Apr 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Huyu Patrick Lumumba ni jamaa kule Kenya anapenda sana ku-twist methali na misemo ya kiingereza yet at the same time securing the message.Following are examples of some of his intelligent twists:

  A NORMAL PERSON : People who live in glass houses should not throw stones.
  PLO LUMUMBA : Individuals who make their abodes in vitreous edifices would be advised to refrain from catapulting perilous projectiles.

  ************************************************** *****

  NORMAL PERSON : Twinkle, twinkle, little star
  PLO LUMUMBA : Scintillate, scintillate, asteroid minim.

  NORMAL PERSON : All that glitters is not gold.
  PLO LUMUMBA : All articles that coruscate with resplendence are not truly auriferous.

  ************************************************** *****

  NORMAL PERSON : Beggars are not choosers
  PLO LUMUMBA : Sorting on the part of mendicants must be interdicted.

  ************************************************** *****

  NORMAL PERSON : Dead men tell no tales
  PLO LUMUMBA : Male cadavers are incapable of rendering any testimony.

  ************************************************** *****

  NORMAL PERSON : Beginner's luck
  PLO LUMUMBA : Neophyte's serendipity.

  ************************************************** *****

  NORMAL PERSON : A rolling stone gathers no moss
  PLO LUMUMBA : A revolving lithic conglomerate accumulates no congeries of small, green, biophytic plant.

  ************************************************** *****

  NORMAL PERSON : Birds of a feather flock together
  PLO LUMUMBA : Members of an avian species of identical plumage tend to congregate.

  ************************************************** *****
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hii ni moja ya kasumba mbaya ya baadhi ya wasomi wetu.

  Nikiwa mdogo sikupenda kabisa kusoma magazeti ya Kiingereza ya hapa kwetu japokuwa nilishinikizwa. Nilielezwa kwamba ni namna nzuri ya kujifunza lugha hii ngeni.
  Interest ya kusoma ilinijia nilipopata vitabu kutoka UK, vilivyoandika in Simple English

  Patrick Lumumba aliwalenga audience wa aina gani?
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Apr 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Jamaa ni lawyer na mwanasiasa.Kwa hivyo most of his audience are
  his "learned friends".
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2008
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Una uhakika ni LUMUMBA? AU unamua kudanganya?? hii misemo ni kati ya mifano iliotolewa na website ya Fun n fun only ambayo ni ya yahoo group kama mifano ya namna mwanafunzi au mkufunzi wa GRE atakavyosema msemo flani au kama ilivyo onyeshwa compared to normal person, nina evedence mpaka jina la aliye collect hio misemo ukitaka nitaweka hapa!
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Apr 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Huyu Bwana inaonekana humfahamu vitimbi vyake basi.Hebu cheki hii link hapa:

  http://kenyananalyst.wordpress.com/2006/05/17/plo-lumumba-yawa/
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  To write with such bombast (see link) all it takes is a dictionary,idle time and a passable IQ.

  However, if you can talk like that, unaided, then that is truly of Churchillian wit and almost Dickensian diction.
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Na kwanini wewe Mtanzania, Mswahili, au mtoka bara, utamani kuongea kwa kutumia misamiati hiyo lugha ya wenzio?
  mi navyojua Linguistic wote wanajua kwa ufasaha lugha yao ya kwanza, na ndio wanaongeza nyingine. Kurukia lugha nyingine kabla ya lugha yako si faida!!
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  May 12, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Acha mtazamo finyu..people are becoming citizens of the world na
  kama ni fahari kwake kuongea lugha ya kiingereza..so be it!
  Na kwa taarifa yako jamaa pia ni mufti katika lugha ya Kiswahili!
   
 9. M

  Mindi JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2008
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  mimi nilijifunza kiingereza toka nikiwa bado mdogo, lakini bahati yangu nzuri kiingereza changu kilikuwa sio cha ubishoo, bombast, kilikuwa hasa katika ufundi wa kutumia maneno ya kawaida na kujenga picha. katika uzungumzaji wangu wa lugha nyingi tu, iwe ni kabila yangu, kiswahili, kiingereza au hata kabila tu lingine, huwa napata burudani sana nikikutana na mtu anaongea lugha FASAHA. anachagua maneno hayo hayo lakini jinsi anavyoyatumia, anajenga maana mbalimbali na kutoa ujumbe wa aina mbalimbali: kutilia mkazo, utani, mahaba mazito, kutuliza, kuhuzunisha, kuliwaza, kufafanua jambo, n.k.

  Nilipoona title hii: "lovers of English language..." nilipata hamu ya kuona kuna kitu gani, kumbe kilichozungumzwa sio hasa kwa ajili ya lovers of English language, maana niseme tu kwamba lugha hapo imebakwa. wala sifikiri kwamba kuna haja ya kuchukia kiingereza, au kifaransa. Na pia haikuzuii kujifunza lugha yako ya kabila, lugha ya kiswahili au lugha nyingine yoyote.

  kujua lugha yoyote ni kupata silaha unayoweza kuitumia kwa faida yako. kujua lugha kwa ufasaha ni silaha kali zaidi. watu huguswa zaidi na mpangilio wa maneno, sauti, na vitu kama hivyo, na huweza kuhamasisha watu na pia kutumika kama kaulimbiu kwa vizazi na vizazi. fikiria maneno kama "I have a dream..."; au vile watu kama kina Mtikila wanavyoweza kutumia maneno kwa ufundi, na hata kuunda maneno kama "gabacholi" na likafikisha ujumbe kwa uhakika ziadi.

  hata ukichunguza watu kama kina Obama, moja ya mafanikio yake ni jinsi anavyoweza kuhamasisha watu wanaomsikiliza, wakamwona anafaa kutokana na jinsi anavyoweza kufikisha ujumbe wake kwa uhakika. Hakuna bombast hapo. hata ulaya, marekani, si kawaida kukuta mtu anafoka bombast. hiyo ni yetu siye wadandiaji, malimbukeni.

  Napendekeza hata vita dhidi ya ufisadi, ipiganwe kwa kutumia lugha pia, kwa ustadi, katika kufikisha ujumbe na kuhamasisha watu.
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Nakubaliana na unayosema.
  Inasikitisha kwamba hapa nyumbani hakuna kabisa msisitizo kuhusu kuzungumza/kuandika Kiswahili kwa ufasaha kama ambavyo Wafaransa wamekuwa wakizingatia kwenye lugha yao.

  Kuzungumza lugha kwa ufasaha kuna uhusiano mkubwa na usomaji wa vitabu. Inavutia sana kwamba umekuwa na utashi huo toka utotoni.  .
   
Loading...