Pingu ndio Yule mweupe?pingu alipiga sana ili katokee kwenye kichupa
Loveness diva ndo aina gani ya Camera iliyotumia kushutia hiyo video?
AnalogLoveness diva ndo aina gani ya Camera iliyotumia kushutia hiyo video?
So hii camera itakuwa na megapixel 2.1?Analog
mtu mbovu ulitaka aonekane mara ngapi?kwa maoni yangu ni wa kawaida na sio mbovu.. mayb quality ya video ndo mbovu pamoja na directing.. jonita anaeimbwa anaokena ka mara tatu hv.. vipande vingine ni watu wanarusha rusha mikono tu.. anyways ni bonge la nyimbo..
hizi chuki sasa mkuu..hatujakamilika. look urself in the mirror.. (by the way simpendi pia diva )mtu mbovu ulitaka aonekane mara ngapi?