Lovely texts you can send a girl to make her feel special

hahahaha ni kweli mkuu,yani wanawake wa sasa hata usimtafute mwezi wewe fanya muamala tu
hapo kwenye watoto wa O-level umenikumbusha jamaa yangu mmoja juzi tu hapa alipata kitoto cha form 4 kizuri sana ila jamaa amekiacha bila hata kufanya kitu nilipomuuliza akasema kina ma texts ya kitoto na anaogopa miaka 30
Jamani 😆😆😆😆

Basi we na Extrovert have it really easy.
 
Yani ile paap,,, nakutumia kaela ka lunch mama! Story zinaanza baada ya hapo sasa kwamba umemmiss na blah blah afanye muonane soon. Hapo mtoto wa mjini umemmaliza.

Vitoto vya O'level vina mapenz ya kutaka kumkontrol mtu mapenz ya kishamba kwa sie ma guru kweye love games.

hahaha nimeipenda hiyo mbinu yako hapo juu mkuu, wanawake ndio hutufanya tuwe na tabia za ajabu alafu baadae wanaanza kulia
 
hahhaah unakuta upo na mtu unaona kabisa hakupendi ila ukimuuliza hasemi unajikuta tu umejiongeza unampotezea.mi ujue naona mapenzi ya huku kwetu ni ya tofauti sana na hata majirani zetu wakenya hapo
Nadhani hapo pia linaingia swala la kutumiana. Mtu anaona hawezi kukuacha uondoke na maslahi yako so anakushikilia ili aendelee kufaidi vitu vyako.🙉🙉
 
Nadhani hapo pia linaingia swala la kutumiana. Mtu anaona hawezi kukuacha uondoke na maslahi yako so anakushikilia ili aendelee kufaidi vitu vyako.

hahahahbila ya kujua kwamba hata mkibaki marafiki utamsaidia tu.ila kuwa single raha sana yani unajinenepea tu huna mtu wa kukuletea ma picha picha kama hayo
 
hahaha nimeipenda hiyo mbinu yako hapo juu mkuu, wanawake ndio hutufanya tuwe na tabia za ajabu alafu baadae wanaanza kulia
Hahahah kabisa mkuu, yani tabia zote tulizonazo ni zao la wanawake wanavyo behave kwetu..Usanii, ahadi hewa, hongo n.k vyote ni wao wamesababisha.

We hata ukifuatilia mijadala yao utagundua wengi wako interested na hongo tu! Sio pickup lines tena! Imethibitishwa....then endelea na story 😝😝😝
 
Hahahah kabisa mkuu, yani tabia zote tulizonazo ni zao la wanawake wanavyo behave kwetu..Usanii, ahadi hewa, hongo n.k vyote ni wao wamesababisha.

We hata ukifuatilia mijadala yao utagundua wengi wako interested na hongo tu!

hahahha eti hongo.yani vizinga ndio kitu wanawaza, yani unaweza kuwa na ka hela ila usitume kwa sababu unaona kabisa huyu mtu yupo kwa maslahi unaona bora ukanunue ka pepsi ka baridi unywe
 
Kuchoshana huko.
Niambie nakupenda tu inatosha..tena kwa kiswahili.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom