Love my baby girl, but she did not trust me at all

Miezi mi3 bado penzi changa,wivu wa kimapenzi lazima uwe bado upo at the peak!Haya ni matukio ya kawaida tu kwa mapenzi mapya wala usitishike swahiba just keep on being who you are usiforge anything to win her trust naimani unamaanisha uhusiano unaoutaka baina yenu na utafanikiwa tu,Hilo wala lisikuumize sana kichwa.

Sawa kaka thanks sana
 
Pole sana, lakini nataka nikuambie kuwa huyo mpenzi wako atakuwa ana jambo fulani moyoni mwake ambalo hataki kuliweka wazi kwako, huenda hana imani na wewe labda kwa sababu hakupendi (sina uhakika) hivyo anajaribu kutafuta visingizio vya hapa na pale ili umchoke uachane nae aendelee na maisha yake mengine.
Nakushauri uendelee kumfuatilia huyo mpenzi wako kwani tatizo la yeye kutokukuamini yawezekana ni kisingizio tu.
Best wishes
 
yaani huyu mpenzi wako mbona anakuwa wa kizamani
watu wanacheat na bado simu zinakuwa on
haroo yuko ba Baby gal mwingine na bado anapokea simu na kutoa maneno ya mahaba
Jaribu kumuelewesha ataelewa ...
 
A man would always cheat at some point in his life kwa hiyo hata yeye anajua kua iko siku utamcheat its just a matter of time...hiyo iko kwenye DNA...
 
Mi naona huyo mpenzi wako ni kwamba ana wivu uliopitiliza kiasi kwamba akikukosa kwa hewa yeye ana creat mind kuwa unamcheat..
Jaribu kumwelewesha jinsi ulivyo na mplease asiwe anakufikiria hivyo.
Na wewe jaribu kukwepa hali hiyo ili mwenzio asiwe na wasiwasi na wewe.
 
katafute pesa we b w e ge,aliyekwambia kuna mapenzi siku hizi nani!huyo unamwita babygal usikute anauza sukari mungu,na hiyo kutokukuamini anazuga sababu kakuona mtindiga.:A S-baby:
 
katafute pesa we b w e ge,aliyekwambia kuna mapenzi siku hizi nani!huyo unamwita babygal usikute anauza sukari mungu,na hiyo kutokukuamini anazuga sababu kakuona mtindiga.:A S-baby:
ok,
Pesa zipi tena? Mbona nina pesa, any way...ngoja niongeze bidii nipate hata HARRIER
 
****there are some people who are living because it is illegal to kill them***
why dont you contribute? Siyo lazima kuchangia kama huna neno kaa kimya...ukijua nafanya kazi gani si utanifuata wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom