...Love inaweza kusurvive bila cash?

When poverty enters through the door, love escapes through the window!!!!
Simone de bauvoir...

Ila nadhani kuna watu wanapendana kweli na wanaweza kuendelea wakati wote... with or without... Mimi na shemeji yenu tukiwemo. lol
 
That is why nakupenda AshaDii


Gosh!! This is news to me..... I am humbled Moseley, in the long run i think nami
nitakupenda pia (sitaki danganya kua nakupenda) Ila One thing is for sure... I already like you.
 
without kabisaaaaaaaa no no money mmha idont think sasa mtaogaje maana sabuni hakuna,
mkiwa mnalala si harufu si utachukia au ??? mi nadhani i t hav to be there hata kidogo kusapport mapenzi yasonge...
 
kimsingi kila mtu ananunulika ila mpaka utakapo fahamu value yake..,ni wachache ambao thamani yao mbele ya pesa haifahamiki hivyo ni wachache wanaoweza ku-survive kwenye love bila ya pesa.
 
love without money its imposible , ni ngumu kwa kweli watu wanajishauaga tu tupendane kwa shida na raha wapi hawana lolote mshiko mbele huna kushoto geukaa mbele tembea . mwanaume huna hela mjini unafanya nini
 
Kama wewe binafsi huwezi kusurvive bila pesa kwanini iwezekane katika mapenzi. No money no life no love that is the truth of the matter acheni kudanganyana. Hujui kupendeza ni hela ebo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom