Love doesn't exist!

Your funny.

What you are doing is giving it (LOVE) a different name. Other people call it love and you call it confortability. . . hapo tofauti uliyoileta haswa ni ipi?

Jua tu kwamba whether you call it LOVE, MADNESS, CONFORTABILITY, MAGIC etc nothing changes the actual feelings and emotions that comes with it. It is what it is, so you might aswell stop trying and let it be. . . .
 
always kumbuka wewe huwezi kujibadilisha ndo mungu alivyo ku umba

Haswa! Ndio maana nikasema kuwa sote tumelazimika kukubali matokeo (jinsi tulivyoumbwa). Hakuna binadam anayeweza kukiri kuwa anafurahia features zake zote alizopewa.

Love haina dosari. Unapo-point dosari kwenye tabia yako au kiungo chako, basi ujue huo ni ushaidi tosha kuwa hakuna hata kitu kinachoitwa self love.

Na kumbuka kuwa kama unaweza kujitolea kasoro wewe mwenyewe, basi hakuna binadam mwingine utakayemwona ametimia

From my point of view, true love isn’t that cheap....To walk the path of true love, you have to be strong enough

No one is strong enough to walk on the love path. We were not granted that type of strengh. He (God) kept it to himself....

naye mpenda ananipenda kufa kama navyo mpenda.

LOL...Kumpenda mtu kufa ndio kupenda kupi huko?....This is a metaphor! you guys have pushed a snooze button in a comfort zone. Kila mmoja wenu hataki ku-step out of this zone kwa sababu ya kuhofia ku-raise anxiety level, which would automatically trigger a stress alarm.

Wewe bakia sijui nipe indicators za love mimi huwa sitazamii indicators za love zaidi ya kutazama positive results, people who have a positive self-image mara nyingi sana wanafanikiwa katika maisha yao..Wewe bakia na hizo indicatos za love,

Ok let's assume "positive results" ndizo indicators za love. Je unaweza kuzitaja hizo positive results za love?

lakini takupa mfano mdogo sana ukisha ona mwanamke ambaye kila wakati yuko kwenye akili yako na uko tayari kuishi naye katika maisha yako, iujuwe ni moja ya indicators za love :violin:

Mtu kuganda kwenye akili yako hakuashiri love. Mdada anaweza kuganda kwenye akili yako kutokana na jinsi mnavyoelewana na/au vitu anavyokufania mkiwa pamoja. Maybe kwa sababu yeye ni queen of acrobatic...maybe kwa sababu anakufanya ujisikie mwanaume kamili....maybe kwa sababu mna-share common interest kibao...

Kuwa tayari kuishi na mtu ndio kabisaaa hakuashirii love. Unaweza kusema kuwa sababu kubwa ya watu kuoana na kuamua kuishi pamoja ni love? If your answer is yes, then you really don't know what marriage and/or living togather is all about?
 
Love does exist. To find where your love lies is a nightmare...some long for it for all their life time

It simply doesn't exist.

We all have (not just some) been sweating to search for something that is non-existence. Only if we would realize how much time we are wasting...

And when you find real love, the world becomes a heaven to you! Look around for it!

Oh really!!! How would you know you have grabbed it? Tell us about it!
 
Your funny.

What you are doing is giving it (LOVE) a different name. Other people call it love and you call it confortability. . . hapo tofauti uliyoileta haswa ni ipi?

Love na comfortability ni ardhi na mbingu.

Comfortability (in a relationship) is a zone we live in when we get used to one another. I know you...you know me! I can handle your b/s...you can handle mine. It is like, we are at a state that we usually know what to expect from each other in terms of mutual understanding. This is not a definition of love!

Jua tu kwamba whether you call it LOVE, MADNESS, CONFORTABILITY, MAGIC etc nothing changes the actual feelings and emotions that comes with it. It is what it is, so you might aswell stop trying and let it be. . . .

Hizo feelings and emotions ni temporary mental conditions that can change anytime. They would need to be perfect (unchangeable) to result into a thing called love
 
It simply doesn't exist.

We all have (not just some) been sweating to search for something that is non-existence. Only if we would realize how much time we are wasting...

Oh really!!! How would you know you have grabbed it? Tell us about it!

Anyway sina namna ya kukusaidia sana maana sijui kitu gani hasa kinaendelea on your side. Kwangu mimi,love ipo na I feel great to find good people who can share that love with me.
 
no way,then what is this feeling that i feel for my girl?this is beyond normal

Do you think there is gonna be a moment that feeling will be altered (even by a slice)? If the answer is yes (which is the only available answer to this question), then what you are experiencing is not love. you are just thrilled with her ways
 
Haswa! Ndio maana nikasema kuwa sote tumelazimika kukubali matokeo (jinsi tulivyoumbwa). Hakuna binadam anayeweza kukiri kuwa anafurahia features zake zote alizopewa.

Love haina dosari. Unapo-point dosari kwenye tabia yako au kiungo chako, basi ujue huo ni ushaidi tosha kuwa hakuna hata kitu kinachoitwa self love.

Na kumbuka kuwa kama unaweza kujitolea kasoro wewe mwenyewe, basi hakuna binadam mwingine utakayemwona ametimia
Naona wewe unatafuta kila njia ya kusema love hai exist, sababu unasumbuliwa na mawazo yako amabayo haya exist kabisa duniani....Love most definitely exists, it is far more real than the lines on your palms.

The only plausible reason any one will think otherwise is if they are yet to experience the beauty, I dare say the absolute joy of loving somebody and being loved in return by the person in question.

Yes, love can be painful at times, disappointments, unfulfilled dreams, expectations cut short and so on, but life itself is a risk and unfortunately if one ventures not, it automatically follows that one gains not....Playing safe becomes exceedingly dangerous, if one decides to pretend that love is simply a fragment of some weak people’s imagination.

No one is strong enough to walk on the love path. We were not granted that type of strengh. He (God) kept it to himself....
Who or what is stronger than God? No one...When we talk about love, we must talk abou love and dont compare with any thing else...Do you compare yourself to God....FYI, when you love someone, you think of the person when you open your eyes in the morning, they're in your mind as you go to bed and the hours in between....Loving someone is putting their needs and comfort first, never seeking to hurt them.

Loving someone is feeling complete, regardless of whatever situation you might find yourself in.

One can go on and on but the only way to understand what love is and if it indeed exists is to experience it:violin:

LOL...Kumpenda mtu kufa ndio kupenda kupi huko?....This is a metaphor! you guys have pushed a snooze button in a comfort zone. Kila mmoja wenu hataki ku-step out of this zone kwa sababu ya kuhofia ku-raise anxiety level, which would automatically trigger a stress alarm.
Wewe matatizo yako, unakimbilia kufanya joke mana umeisha ona hujapata wajinga walio kubaliana na wewe, eti love hai exist sijui umeisha kosa wakukupenda, sio wote hawapendwi na sio wote hawajui kupenda ....Hata Mungu anasema mtu asiye jua kupenda ni vigumu yeye kumpenda, na FYI kupenda kuko aina nyingi sana, hata kumpenda Mungu ni TOFOUTI nakumpenda mke wako, mama yako, mchumba wako, wazazi wako, marafiki zako, mchumba wako, au ndugu zako.

Ok let's assume "positive results" ndizo indicators za love. Je unaweza kuzitaja hizo positive results za love?.
Love exist from the time of creation till when both of us will no longer exist in this world, me and you will go, but love will ever remain :violin:

Mtu kuganda kwenye akili yako hakuashiri love. Mdada anaweza kuganda kwenye akili yako kutokana na jinsi mnavyoelewana na/au vitu anavyokufania mkiwa pamoja. Maybe kwa sababu yeye ni queen of acrobatic...maybe kwa sababu anakufanya ujisikie mwanaume kamili....maybe kwa sababu mna-share common interest kibao...

Kuwa tayari kuishi na mtu ndio kabisaaa hakuashirii love. Unaweza kusema kuwa sababu kubwa ya watu kuoana na kuamua kuishi pamoja ni love? If your answer is yes, then you really don't know what marriage and/or living togather is all about?
Love is a choice of action, you have control over love....You choose to love, and you choose not to love...Huo ni uwamuzi wako na kila mtu anajua nini love lakini wengi tunajua love kwa mawazo tofauti, wewe unasema hai exist sababu unawaza kama unavyo waza wewe, na mimi nasema ina exist sababu nawaza kama navyo waza mimi, wewe bakia na mawazo yako, lakini usije jaribu kubadili mawazo yangu sababu na amini kabisa love ipo na itabakia kuwepo mpaa siku na zikwa.

Wanao nipenda watabakia kunikumbuka, na kuniombea mazuri siku zote hata kama sipo duniani, na mmoja wapo mke wangu kama mimi tatangulia kufa kabla yake, au mimi nitamuombea yeye mazuri siku yeye akifa kabla yangu, huko anapo kwenda kwa mola wake :violin:
 
kwa hiyo kichopo baina ya mpenzi wako na wewe ni nini
Kilichopo baina ya mpenzi na mpenzi ni kujaribu kuzidiana ujanja na mahisia ya kutaka kumwagana(kutaka viungo vya siri visalimiane / handshake ya nguvu.). Kwa wengine huongezeka na utapeli wa kuchomoana mahela!

Jamaa akianza kukwita "Darling", "sweety" ujue anakulainisha, anataka kufanya ile shuguli ya fundi seremala, ya msumeno manually!
 
Naona wewe unatafuta kila njia ya kusema love hai exist, sababu unasumbuliwa na mawazo yako amabayo haya exist kabisa duniani....Love most definitely exists, it is far more real than the lines on your palms.

Fazaa,

Calm down...naona unaandika kwa jazba...

Who or what is stronger than God? No one...When we talk about love, we must talk abou love and dont compare with any thing else...Do you compare yourself to God....

Ni wapi nimefananisha God na mwanadam? Au God na love?

Nimeandika hivi "No one is strong enough to walk on the love path. We were not granted that type of strengh. He (God) kept it to himself...."

Ulielewa vizuri nilichoandika?

when you love someone, you think of the person when you open your eyes in the morning, they're in your mind as you go to bed and the hours in between....Loving someone is putting their needs and comfort first, never seeking to hurt them.

Is this love or obsession?

It is obviously the latter. There is nothing wrong to be obsessed with someone for a good cause. People cherish their sincerely partners. In the process, they compose nyimbo za mapambio ambazo zinaganda kwenye akili zao 24/7. There is absolutely nothing wrong with that. But it's merely an obsession, rather than love.

Wewe matatizo yako, unakimbilia kufanya joke mana umeisha ona hujapata wajinga walio kubaliana na wewe, eti love hai exist sijui umeisha kosa wakukupenda, sio wote hawapendwi na sio wote hawajui kupenda

Again, calm down Fazaa. I neither touched your girl nor your sister...so relax! Huu ni mjadala tu

Watu wengi wa MMU hawajaigusa hii mada kwa sababu ni bitter truth! Utamaduni wetu Tanzania haujaandaa mazingira ya ku-face bitter truth. So the best way is to stay away from them...

Angalia mfano wako wewe mwenye...umeigusa hii mada, na matokeo yake unaanza kupandisha munkari

Love is a choice of action, you have control over love....You choose to love, and you choose not to love.

Negative!

Love is never a choice! And certainly can't be controlled. How can you have a choice and/or control something which doesn't exist?
 
Nimeona haina haja ya ku uote yote hayo, tumeisha ongea na unayarudia, sasa unakimbilia kusema sijui na jazbaa sijui nini nimeona nichukue hii point yako ya mwisho nikujibu.
Negative!

Love is never a choice
! And certainly can't be controlled. How can you have a choice and/or control something which doesn't exist?
Love is a choice, not a feeling or an emotion it's a decision you make...huwezi kupenda bila kuchukua action, na action haiwezi kufanyika bila wewe kutaka.

Mfano wewe umeisha mpenda binti flani na huwezi kumfata, sidhani kama utampata....unacho kitaka lazima ukifate kwa hio love is a choice.

FYI love like any other thing exists, we bkia hivyo hivyo kwamba love hai exist, sisi tunakula raha tunao amini love exist pole sana dogo....Itabdi ujitahidi sana kupenda ili ujue kama love ipo :violin:
 
Mfano wewe umeisha mpenda binti flani na huwezi kumfata, sidhani kama utampata....unacho kitaka lazima ukifate kwa hio love is a choice.

Kupenda au kuvutiwa? Unawezaje kumpenda binti wakati hata bado hujamfuata/hujaongea nae? Absolutely negative!!

Ukimwona mdada anaye-fit "taste" yako unavutiwa naye (na sio kumpenda). Ukiwa mjasiri wa kuongea naye (na akakubali ombi lako), then mnajenga urafiki wa kimapenzi, na eventually mnakuwa-obsessed with each other. Siku mambo yakiwa sivyo ndivyo, obsession inapungua (au kutoweka). Hii sio love!!!...speedometer ya love haishuki! kama speed ni 200m/h basi ni mwendo huo huo mpaka lyambaa....kwenye highway, kona, mlima, mashimo, traffic jam...speed ni ile ile 200m/h...no slowing down for anything and everything.

Na ndio maana nasema hakuna love, kwa sababu hakuna mwanadam anayeweza ku-maintain speed ya love bila ya kushuka hata nukta 1.
pole sana dogo....Itabdi ujitahidi sana kupenda ili ujue kama love ipo :violin:

I can't believe you called me "dogo!" Anyway, if it suits you....!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom