Mvua Ya Kiangaz
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 308
- 144
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia threads zenye kuuliza mapenzi ni nini???
Lakini,baada ya hivi karibuni kumpata mwandani wangu,baada ya kusota bila mafanikio humu jf aliniuliza nini maana ya mapenzi au kupenda???
bila kufikiria nilimjibu"its like scoring three points in an unimaginable and unprecedented move in a tighty basketball match", binafsi nilijikuta bila ya kujiandaa nimetoa nini maana ya mapenzi au kitu kupenda kwa mtazamo wangu kama mcheza mpira wa kikapu nikimaanisha MAPENZI NI KAMA KUFUNGA POINTI TATU KATIKA MAZINGIRA YASIYOTARAJIWA NA YASIYOWEZAKANA KUREJEWA KTK MECHI NGUMU NA YENYE UPINZANI,bila shaka mtazamo huu ulitokana na raha ninayoipata kuwa ndani ya mapenzi mazito ambayo huwa ninajisikia nikifunga point tatu katika mazingira hayo.........
Bila shaka kwa mtazamo huo,chinga,footballer,mwanamuziki na yeyote anayefurahia kitu anachokifanya anaweza akawa na mtazamo wake ktk maana ya kupenda au mapenzi,
..........sijui mtazamo wako, karibu tujadili.....