MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.
Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and HONESTY. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa honesty kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.
Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.
Natanguliza shukrani zangu