Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,471
- 722
What u don't know wont hurt you.Be careful when deciding what you need to disclose.
ni muhimu kuwa honest katika 'love', ila with a note kwamba kila usemacho chaweza kutumiwa kama silaha dhidi yako wakati wa downs na ups za hiyo 'love'.
btw: nadhani kichwa sahihi zaidi ni love and honesty.
ukweli ni sehem ya uaminifu.
Chauro..................have you ever heard something like sweet lie? that does not hurt??
Nadhani Acid was right tutofautishe not telling and being honesty......... not telling huconfess wala kukataa kitu but you just not telling so if you havent tell anything how can you be muongo??
Hata kwka mfano uliosema ....................hata kama shemeji ana mtoto nje..hasemi kama anaye na hata kama umesikia hakiri wala kukataa...jbu akupalo ni kuwa I dont want to talk about it........... lakini hii yote haifanyi kukuignore but to protect you because muda haujafika............But I think kuna mambo mengine ambayo are more sensitive than this.... ambayo I still think that there are some secrets better remain there
What u don't know wont hurt you.Be careful when deciding what you need to disclose.
ni muhimu kuwa honest katika 'love', ila with a note kwamba kila usemacho chaweza kutumiwa kama silaha dhidi yako wakati wa downs na ups za hiyo 'love'.
btw: nadhani kichwa sahihi zaidi ni love and honesty.
ukweli ni sehem ya uaminifu.
Dia uko sahihi kabisa na ni wazi utaumia sana.....but what am refering here nio zile passt......what you did in the past ambayo we unahisi ukisema iutamuumiza au atashindwa kuicontain...........shpould we keep in our little closet or should we say it all?? If we decide to keep it asecret, should it be considered as a sin or not?asante dada lakini jambo lingine ni pale mtu anapofanya mambo ya ajabu huko na watu wanajua we unaona uko na malaika siku ya siku unajua unauliza kwa sababu ya kulinda penzi hasemi ukweli kama tunavoamini anakupenda kulinda penzi lenu unapata ukweli kwa watu barabarani si unamuamini bwana yote yatakuwa sawa tena kweli ? au ndo yaleyale tunakubali yaishe
umepata mpya eeh
What u don't know wont hurt you.Be careful when deciding what you need to disclose.
Dia uko sahihi kabisa na ni wazi utaumia sana.....but what am refering here nio zile passt......what you did in the past ambayo we unahisi ukisema iutamuumiza au atashindwa kuicontain...........shpould we keep in our little closet or should we say it all?? If we decide to keep it asecret, should it be considered as a sin or not?
Babu...posted via Mobille!!!
Aksante kwa angalizo I think Honesty is the best word then thruth .........let me do the needful
Sasa unaposema tuwe caution kuwa whatever we saymight be used against us........... unamaanisha we should be careful in what we say?? au
Kelvin....mh I think I am confuced.....what is the difference between telling the truth and being honesty...... hahaha Yes I tried once to lie about something fishy ------------actually very stupid thing ambayo baadae imenicost sana kwoani nilikuja kuamua kusema ukweli duh.......ikawa SI unit mwenzangu na hata walioshtakiwa wakawa hawanielewi kwa nini nilificha...even if it wasnt that nasty
Actually that happened two years ago.
Tracy you are right but remeber the past predicts the future and most of people tends to judge the future by looking at the past...mfano....ulishawahikuolewa and then mambo hayakuwa then you decided to leave him kwa sababu yoyote ile na kumpenda huyo ulonaye sasa..............even if in a defencive way............most of the people watakuwa na wasi kuwa na wao wanawezaachwa so wanakaa mguu mmoja ndani mwingine nje akiamiuni naye atajaachwa tu..............i think one has to accept everything akikubali kuingia in a relationship about your partner's acts za pasts,.what matters is what is happening today and what will happen in the future..say what is true,(for those that you know akija kujua itakua a big deal)..keep what is minute,.lakini kama mko serious co unatok tu.
.for those who believe in Love,.its better hearing the truth that hurts from the one you love than hearing it from others.
Do you love her because she is beautiful,
Or she is beautiful because you love her?
Tracy you are right but remeber the past predicts the future and most of people tends to judge the future by looking at the past...mfano....ulishawahikuolewa and then mambo hayakuwa then you decided to leave him kwa sababu yoyote ile na kumpenda huyo ulonaye sasa..............even if in a defencive way............most of the people watakuwa na wasi kuwa na wao wanawezaachwa so wanakaa mguu mmoja ndani mwingine nje akiamiuni naye atajaachwa tu..............
halafu wewe.......sorry to say this most men use this kutufanya tujikie guilt na kuhalalisha makosa yao
what if i start judging your present deeds with the confessions you made??.
Oh GodQuestt..........I think we are sailing in the same boat........... though its hard to admit