Lough on it but learn from this. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lough on it but learn from this.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lekanjobe Kubinika, Jul 21, 2010.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CHAGGA MIND

  A CHAGGA man walks into a Barclays Bank in DAR ES SALAAM City and asks for the Loan Officer. He tells the Loan Officer that he is going to DUBAI on business for four weeks and needs to borrow Tshs 150,000. The bank officer tells him that the bank will need some form of security for the loan, so the CHAGGA man hands over the keys to a brand new Mercedes Benz s class 500 parked on the street in front of the bank.

  He produces the title and everything checks out. The loan officer agrees to accept the car as collateral for the loan. The bank's president and its officers all enjoy a good laugh at the CHAGGA for using a TSH 255 Million Mercedes Benz as collateral against a TSH 150,000 loan. An employee of the bank then drives the Mercedes Benz into the bank's underground garage and parks it there. Four weeks later, the CHAGGA returns, repays the TSH 150,000 and the interest, which comes to TSH 15,000.The loan officer says, 'Sir, we are very happy to have had your business, and this transaction has worked out very nicely but we are a little puzzled. While you were away, we checked you out and found that you are a multi millionaire.
  What puzzles us is, why would you bother to borrow 'TSH 150,000' The CHAGGA replies: 'Where else in DAR ES SALAAM can I park my car for four weeks for only TSH 15,000 and expect it to be safe and intact when I return???'' Ah, the mind of the CHAGGA ... send this to your friends who deserve a great laugh..
   
 2. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe mchaga nini ? hii joke ya miaka, ulichobadili hapo ni kueka "mchaga" kujipa shavu sio? siyo mbaya mkuu; nakubaliana na wewe Wachaga bongo kali.
   
 3. B

  Boniface Shuuli Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wachaga achana nao.
   
 4. B

  BARRY JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  acha kukopi vitu.......stori ya long time hiii sikumbuki nchi gani ile.................unatapisha
   
 5. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio hamnazo kweli!!! Kwa kuwa wewe uliona basi wengine hutaki waone?? kaishi dunia ya peke yako basi kama unajua kila kitu na umeona kila kitu, maana wenzako tunajua kwamba mambo hujirudia kila siku na wala hakuna jipya. Wewe ni wa kale kweli sikujua du! Hapa tunaelimishana, tunaburudishana, tunataarifiana. Sasa hata kiswahili chako unachosema kilishasemwa siku nyingi, huoni kwamba unalamba matapishi yako mwenyewe? Poleeeeee! Nikupe ushauri wa bure = Kama hujafurahishwa na post unayoiona tutakuona una akili sana kama unaiacha unaenda kufungua nyingine pasipokuonyesha udhaifu wako kiakili namna hiyo. JF sio mahali pa kukatishana tamaa, hasa na conserbvatives stone aged thinking kama za kwako. Cha kale kwako ni kipya kwa wenzio, heshimu haki sawa kwa wote usiwe mbinafsi ama sivyo JF hapakufai. Heshimu mawazo ya wengine na uhuru wa wengine madhali mawazo hayo hayamuumizi mtu.
   
 6. k

  kiuno Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ndio kwanza naisikia leo hii jokes, thanks, ingekuwa hivyo basi watoto wasingehadithiwa zile hadithi za ua jekundu, cinderela kwasababu watu waliopita hiyo age wanazijua.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu vipi... TSH150,000 ni sawa na TSH15,000, au ndio umechapia??

  hivi hawakuomba interest ya hiyo loan?

  ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... hii joke ni bab kubwa
   
 8. paradox

  paradox Senior Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Perhaps you should reread the joke, you obviously did not get the punch line. . .:tongue:
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Joke zingine bwana. Inawezekanaje milionea asiwe na nyumba? Hana familia? Hujanishawishi
   
 10. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hiyo nchi huitwa Tanzania.Inaonesha uliisikia long time kijijini kwenu NANJILINJI.
   
 11. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Umecopy na kubandika Mkubwa...original joke ina kila kitu ila badala ya Wachaga kuna JEWS na pia kiasi cha fedha umeboronga labda bila kujua ili kujitia kitanzi kwa kosa lako la kunakili kazi ya watu bila ku-attribute to source.
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Uhuru wa kuongea....................
   
 13. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli masikini_Jeuri kakujibu kisawasawa. Kila mmoja anao uhuru wa kuongea, hata wewe unao uhuru huo, fyatuka ufyatukavyo. Wnzako wamefaidika. Hiyo orijino unaijua wewe, labda uilete tuione. Kwa taarifa yako hakuna jokes original, ndio maana ni jokes. Wewe nakufananisha na mtu mmoja anayedhani ana akili sana anayepanga kuwashitaki watu wa commedy ati kwa sababu anajihisi anasemwa yeye kwenye commedy fulani ingawa hakuona jina lake original ila yanayozungumzwa yanafanana na ya kwake. Wapuuzi wako wengi jamani mwe! Jokes are simply jokes made to suit people who are the recipient at that particular time.

  Nadhani ungekuwa mtengeneza magari ya Suzuki ungemlalamikia mtengeneza Toyota kwa madai kwamba ametengeneza gari yenye matairi manne ila kabadili sura ya bonet, he he he he he he he!
   
Loading...