NiveaHabari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Hii bei gani mkuu?Nivea
Nimekuwa nikipaka mafuta ya zeituni,kuna mtu alinitia ujinga kwamba nivea yanachubuaNivea
Hee, yanachubua tena!!Nimekuwa nikipaka mafuta ya zeituni,kuna mtu alinitia ujinga kwamba nivea yanachubua
Mimi sijui.Hee, yanachubua tena!!
Uzuri kwa maana harufu yake nzuri na yasichubueMimi sijui.
Kwani kwanini yameitwa mazuri,yanafanya jambo gani kwenye ngozi ?
Pamoja sana mkuuClere for Men,Vaseline au Nivea zote safi kwa mwanamme
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
khaaToka lini wanaume tukapakaa mafuta? wanaume tunapakaa uji wa dona
clair men ipo vizuri ila nakushauri usiweke greesalin nyingi kwani yaweza kukuchubua ngozi watu wakabaki wanakushangaa baada ya kubadilika sura ghafla.
Siku hizi hayapo kabisa sokoniclair men ipo vizuri ila nakushauri usiweke greesalin nyingi kwani yaweza kukuchubua ngozi watu wakabaki wanakushangaa baada ya kubadilika sura ghafla.
😅😅😅😅😅😅aisee umetisha brooToka lini wanaume tukapakaa mafuta? wanaume tunapakaa uji wa dona