Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

braity

Senior Member
May 24, 2020
171
250
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
 
Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
9,009
2,000
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Nivea
 
Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
440
1,000
Tumia unayoyapenda wewe. Ukiishi Duniani kuwa na maamuzi yako binafsi. Ukitaka kila jambo uulizie jamii utapotea kwa sababu hayo utakayoyafanya hayatoki ndani yako.
 
Nsungamealex

New Member
Aug 12, 2021
4
45
clair men ipo vizuri ila nakushauri usiweke greesalin nyingi kwani yaweza kukuchubua ngozi watu wakabaki wanakushangaa baada ya kubadilika sura ghafla.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom