Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Pole kwa tatizo lako lakini pia nikushauri uifahamu aina ya ngozi yako kwanza. Yaani kama ni kavu au inamafuta, then ukihitaji kufahamu bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia na ambazo itafaa kwa ngozi yako karibu me nitakudhirikisha.

0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Pure skin utusahau kama uliwah kuwa na chunusi
Husaidia sana watu wenye ngozi ya mafuta yaan hupunguza mafuta na kuondoa chunusi kwa mwenye nazo.
Kwa maelezo zaidi 0658409474
 
Attachments

  • IMG-20170815-WA0002.jpg
    IMG-20170815-WA0002.jpg
    33.6 KB · Views: 334
Nina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Umejua unangoz ya aina gani ya mafuta au kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rubii,

Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.[/QUOTE]
Haha apo kwny ACNOTIN mg 20 umemaliza...asipopona na iyo ....kweli kalogwa...
Sema wanashauri Acnotin atumie usiku b4 bed plus Retin A Cream na mornin acheze na Antibiotics plus Persol eiza 2.5 o 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And who are u by the way..!!???
Povu la nini sasa...mnajifanya wajasiriamali uchwara na vijiproduct vyenu visivo na TBS...
Dawa ya chunusi ni iyo ACTON plus RETIN A sijui DOXYLINE na BENZEL...imethibitishwa na Ma-DERMATOLOGIST sasa eti tumia sabuni haina kemikali... ina keki ndani kama sio Kemikali.
Mnakera punguzeni njaaa ata kama Anko Magu kabana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu la nini sasa...mnajifanya wajasiriamali uchwara na vijiproduct vyenu visivo na TBS...
Dawa ya chunusi ni iyo ACTON plus RETIN A sijui DOXYLINE na BENZEL...imethibitishwa na Ma-DERMATILOGIST sasa eti tumia sabuni haina kemikali... ina keki ndani kama sio Kemikali.
Mnakera punguzeni njaaa ata kama Anko Magu kabana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaanza mipasho mtoto wa kiume.., povu ndo nini sasa..!!?? Ongea kiume au utakuwa na kasoro mahali fulani..,?
 
Ushaanza mipasho mtoto wa kiume.., povu ndo nini sasa..!!?? Ongea kiume au utakuwa na kasoro mahali fulani..,?
Acheni ujasiriamali uchwara...kama mjini hakuna kazi si mrudi shamba kuna kazi nyinhi za kilimo????
We unauza sabuni unethibitishwa na TFDA ama unaendekeza njaa tuu??
Ungekua hujakimbia shule si ungekuta sasa hivi unakula kwa kalamu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujasiriamali uchwara...kama mjini hakuna kazi si mrudi shamba kuna kazi nyinhi za kilimo????
We unauza sabuni unethibitishwa na TFDA ama unaendekeza njaa tuu??
Ungekua hujakimbia shule si ungekuta sasa hivi unakula kwa kalamu??

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lako hujajua unaemwambia hvyo ni nani na anakiwango gani cha elimu na anafanya kazi gani..., ckia kijana nachojaribu kukuelewesha ni kwamba kila mtu na maisha yake..., waache wafanye biashara. Mwenye uzi kaja kuomba ushauri na kila mtu katoa kile anachokielewa, wewe hukupaswa kumkandia mtu kwa chochote alichokielezea ulitakiwa na wewe utoe ushauri wako kisha ukae kimya.
Actually mimi sio mjasiriamali wa aina yoyote na istoshe kazi ya ujasiriamali siiwezi hata kidogo. NOTE THAT bwana mdogo
 
Sasa waachiwe hovyo huoni kama wanahatarisha afya za watumiaji??
Ama umekaa apo tu unajijambia jambia hujui kama wanahatarisha afya za wengine kisa njaa zao.
Yani wewe njaa zako ndo uhatarishe afya za watu. Shit!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah Tusaidieni basi wahanga wa haya mambo,

Mnatuchanganya Mjue mara tumia hichi mara nenda kule full mvuruganooo. which is which????
 
Back
Top Bottom