kisinza daud
Member
- Feb 12, 2017
- 14
- 6
Usihangaike kutafuta lotion
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Hizi husaidia kwa muda tuu... With time vinagoma. Nafikiri hizo tajwa hapo juu sio suluisho la tatizo.kuna
1. Persol ya 2.5gm gell na
2. Persol ya 5gm gell
huwa nzuri kwa chunusi lakini kwa kuwa zimekusumbua kwa muda mrefu najua utakuwa umesha zitumia
Mimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojuta
Post sent using JamiiForums mobile app
Poa ntatuma jionMpare naomba ututumie pic ya kopo mi mwenyewe muhanga pls!
Roberts, hii sabuni ya kihenga, kitambo sanaaaaMi nlikuwaga na vichunus vikubwa hadi kama vidonda haviponi miaka nkaambiwa sabuni lundo nkatumia wapi. Mwisho wa maneno nkaja kuambiwa sabuni moja simple inaitwa ROBERTS ndo ikanisaidia, haikubaki chunusi hata moja.
Mwambie atafute hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiboko ya machunusi hiyo! Vya kale dhahabuRoberts, hii sabuni ya kihenga, kitambo sanaaaa
Roberts, hii sabuni ya kihenga, kitambo sanaaaa
Naogea na kupaka povu lake baada ya kuoga