rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,167
- 16,423
Tamshauri rafiki yangu afuate ushauri huu,chunusi zinamsumbua pia
Vyema Sana! Kama akikosa acnotin ya 20 gm achukue ya 10gm dose 2×2
Tamshauri rafiki yangu afuate ushauri huu,chunusi zinamsumbua pia
Zipo ambazo hazina hydroquinone,mercury n.k zinaondoa madoa meusi usoni,seli zilizokufa na kukuacha na rangi yako asili.Cream utakuwa huondoi chunusi bali unajichubua
Nashukuru sana,ubarikiweVyema Sana! Kama akikosa acnotin ya 20 gm achukue ya 10gm dose 2×2
soma definition ya cream hata google then ndo ulivyokurupuka ukurupuke vizuri...Cream utakuwa huondoi chunusi bali unajichubua
soma definition ya cream hata google then ndo ulivyokurupuka ukurupuke vizuri...
Hebu fafanueniUnachuja nafaka?
Kuchuja muhimu
Hizo persol kabla ya kupaka pata kwanza ushauri wa kitaalamu, najua persol 5gm ni kwa ajili ya watu wenye machunusi kama majipu, kama haupo hivo ukijipaka yanakuja.... Waone wataalamu kwanzaSijatumia ndugu,ntajaribu.
Yaan unafanya vitu kama freemason acha sheria ngumu wengine hata ku pm wala ku am hatuwez tunaomba nambaThen Black African Soap itakufaa, ukitumia vizuri within one week utaona mabadiliko
Kumbe we ni mwana-UUMEMi mwanaume ila hongera ni dawa na ni mafuta mazuri sana
Kila siku tunasema acheni mkorogo na cream kutafuta weupe. Hilo unalo. NA BADONaomba msaada kama mtu anajua dawa ya kuondoa vidoa doa vyeusi vilivyoachwa baada ya kutumbua chunusi anisaidie nakosaa amani na uso wangu.
Nishapona.na mimi ni mweupe tuu tena natamani ningekuwa mweusiKila siku tunasema acheni mkorogo na cream kutafuta weupe. Hilo unalo. NA BADO
Mimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojutaNina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Person forty ndio Nzuri japo ngozi lazima iwe kama ya Mzee kwanzakuna
1. Persol ya 2.5gm gell na
2. Persol ya 5gm gell
huwa nzuri kwa chunusi lakini kwa kuwa zimekusumbua kwa muda mrefu najua utakuwa umesha zitumia