Lost Your mobile?

chrisman49

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
351
77
Do you lost your mobile?? Don'twaste time by going for police station. Just Send an E-MAIL with your Mobile Details the information about the mobile will sent to you within 15 days...
Send an E-MAIL to copyvsnl.netwith the following info:
your name:
Address:
phone model:
make:
Last used no:
E-MAIL for:
communication:
Missed date:
IMEI no:
 
Asante nimekusoma,ila ungeandika tu kwa kiswahili kama unakijua coz hiyo english yako mmhmmh...
 
Sijui sijasoma vizuri mbona sioni hiyo email address? nilipoteza juzi juzi tu simu yangu hebu ngoja nitume ili nikamate mwizi.
 
Mm sıjakuelewa mkuu uitumie emaıl kıvıpı?
Na kwenye address ipi?
 
Mbona hakuna e-mail address uliyoandika? nafikiri umeruka @ sign
 
Jamani apo inatakiwa uelewe anachokimaanisha,kithungu luga ya watu iyo,ata wathungu waaribu kiswaili chetu
 
Do you lost your mobile?? Don'twaste time by going for police station. Just Send an E-MAIL with your Mobile Details the information about the mobile will sent to you within 15 days...
Send an E-MAIL to copyvsnl.netwith the following info:
your name:
Address:
phone model:
make:
Last used no:
E-MAIL for:
communication:
Missed date:
IMEI no:

mkuu hiyo email imekaaje na kitu chengine mbona mambo ni mengi kiasi kwamba sidhani kama utaweza kukumbuka yote.

BTW thanks for news..
 
mkuu natakakujua jinsi tunaweza pata simu zetu pamoja nawezi wetu!
lakini hujaeleweka kabisa. make kingereza chako kibovu! tafadhali fafanua kwakiswahili !
 
huyu jamaa amekula kona maana kuna maswali kibao hapa, pia tupatie website yao labda tutaelewa zaidi
 
Ivi nyie mnaakl kwl?mnaacha kufungua web thn muone wht s inside..mnalament 2
 
Kama haujaelewa chochote bs umeinter wrong rum..nenda jukwaa la elimu kichwa chako so cha hapa!
 
Jamani kaeni kando na hanm watu, huenda wakawa ni waNIGERIA na uhuni wao.
 
Back
Top Bottom