Loss report sasa ni fursa kwa polisi na watu wa stationary.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
1.Ukienda kuchukua loss report Polis wanaelwkeza watu kwenye stationary wanazozijua wao...in reference kwa Arusha ukiienda Central wanakuambia uende stationary inayoitwa Mlimani|Binafsi nilijua ni wao tu wana athourity ya kutoa loss report nikafika nikakuta foleni kubwa mnoo huku walicharg shilling 3500 kwa kila mtu,nikasema wacha nisonge stationary nyingine nikakuta wanafanya na nilikua mwnyewe tu nikajiuliza ni kwann polisi wanaelekeza watu sehemu moja tu.
2.Baada yakupata control number ya malipo na kulipia unapaswa kurudi polisi ili wacomfirm wanadai hela ya vocha kwa kisingizo cha kwamba simu zao hazina bundle na hawawezi kuconfirm malipo

Je utaratibu rasmi na halali ukoje ?maana ni changamoto
 
Mie pia nlimtuma mtu akanisaidie kuchukua ile karatasi eti akaniambia anatakiwa kulipa 3,000/= mie nukamwambie mbona nlisha lipa 500/= kwenye mtandao eti wanasema n Ela ya kuprint Sasa situnajua kuprint stationary n 500/= tuu au Bei kulingana na maeneo pamoja na huduma

Ila sababu waliamua kuwa kieletronic Sasa so ilibid tuachane na makaratasi na tutembee na serial number tukienda sehemu husika tunawapa wanaingiza wanaona kweli huyu jamaa kapita polisi.

Vijana mliosoma IT fursa hyo nendeni mambo ya ndani mkawape dili hilo
 
Na Mimi nilitoa 500 nikapewa na risiti ya serikali, stationary nilitoa sh 100 ya copy. Ilikuwa mwezi wa pili Arusha. Labda Kama wameanzisha utaratibu mpya

Nenda sasa ujionee miujiza
 
Aisee wanaboa hawa jamaa. Mimi walinipa risiti ya miatano ila wanataka 2000 kwa line moja na Kama umepoteza mbili buku nne. Hii sio fair kabisa
 
Tatizo wengi wetu hatujui Kujaza wenyewe ross report kwenye simu zetu, ila ukijaza mwenyewe elfu 1000 tu utatumia, yaani Mia 500 utalipia loss report kupitia mtandao wowote wa simu na kwenda na sms Ile uliolipia ktk mtandao ili Polisi kuthibitisha. Mia 500 kuprint stationary na ukiwa laini mbili unaweza kuziunganisha kupitia ross report moja kwa laini mbili mtihani kama ujui kujaza na kulipia ktk mtandao, una jinsi kulipia kulingana ulivyopatana
 
Back
Top Bottom