Loss of marriage certificate

papaamukulu

Member
Jan 20, 2011
41
4
Tafadhali naomba msaada, mdogo wangu amepoteza vyeti vya ndoa,(nakala zote 2) Je ni hatua gani anapaswa kufanya kupata vingine?

Pease help.
 
hahaha, lost of marriage certificate. usahihi ni loss of marriage certificate. nafikiri alikua amekosea kawaida tu.
 
unaweza kudhani ni claim ndogo lakn si hivyo, nenda Polisi kisha RITA/Uliposajiliwa ndoa yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom