lorry linaungua hapa tangi bovu mbezi beach

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
895
Watanzania waajabu sana yaani hata baada ya foleni kupungua bado wanaanzisha yao kwa kusimam8sha magari wakishangaa moto
 
Ngona na yao moto ukamate. Ni lori la mafuta au la cement mkuu? Vibaka wamepona maana kwa hali ya maisha basi hali kama nii ni nitoke vipi.
 
mbona hata ubalozi wa USA ulivyolipuliwa wabongo waliwahi kwenda kuona badala ya kukimbia sijaona cha ajabu huenda ni waokoaji!
 
Ni scania, lori ya mchanga. Foleni sasa kisa watu wanangalia gari ikiungua.
 
Back
Top Bottom