Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Lorry la mizigo limeanguka katikati ya barabara na kuziba njia kuu itokayo Chalinze kwenda Dar.Source mimi mwenyewe eneo la tukio.
Watakuwa CHADEMA walioliangusha
Teh teh! Lol! Mukulu Full full ndani ya NY! Hivi anaonaje akiwa kule na Umeme upo 24/7 anajisikiaje? Huwa Hatamani inchi yake ingekuwa kama huko alipo?VP LIMEUA?
KAMA LIMEUA TUMPELEKEE TAARIFA MUKULU
ILI ATUME SALAMU ZA RMBRMB!:frown:
Watakuwa CHADEMA walioliangusha