Elections 2010 Lori lililobebelea wana-CCM kuwajaza kwenye kampeni lapinduka na kuua

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,680
20,433
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 50 kujeruhi vibaya baada ya lori walilokuwa wamepanda wakati wakitokea kwenye kampeni za mgombea urais wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, kupinduka.
Ajali hiyo ya kwanza tangu kuanza kwa kampeni visiwani hapa, ilitokea majira ya saa 12:00 jioni kwenye eneo lililo kati ya Konde na Micheweni.
Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom