Lords eyes kama jigga kwa michano

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,134
2,010
Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee

Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa

Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu)
Pia nitaonyesha uhusiano wa michano yake na jigga

Daah huyu jamaa anajua ukiachilia flow hatari haijawahi tokea aliyoonyesha kwenye hii ngoma mpya.

Mstari wenyewe unaenda hivi ( siwezi mficha ficha cuz ni wangu wa maisha). Huu mstari kwa mtazamo wangu unakuwa kama kisomo kwa Young lunya (HOT UP COMING MC) kutokana na mstari wake katika goma linakwenda kwa jina la SERIKALI KALI KUU katika ngoma tajwa lunyaa anachana kwamba yeye main chick wake (demu wake) hamuweki waz ana mficha ficha. Hakuna anayejua kwa nini lunya anaficha manzi yake ati,,,

Sasa kwanini nimfananishe lord na hova sababu ni hizi
  • ukiufwatilia huo mstari na ya nyuma yake utakuta lord hakuwa akimlenga lunya bali alikuwa akiongelea jinsi gani yupo kwa mapenzi mazito na art ya hip hop, hii tabia pia imeonyeshwa na jay katika baathi za ngoma zake kuweka mistari yenye maana mbili
  • pia jiga amekuwa na tabia ya kujibu na kuonyesha njia pale anapokuwa anehisi hapwko sawa. Mfano jiiga ilisema kwenye ngoma yake moja " am real half a bill ... They got my baby mama money" hili lilikuwa dongo kwa rapper lil wayne ambaye alikuwa akijipata kwamba ye ni a milli. Hapa jiga akamuweka sawa alimweleza kuwa hizo ni chache, kama lord anavyomuka kati LUNYA na kumpa kweli.
HIP HOP
 
Jamaa nilikua namkubali sana enzi N2N
Zile flow za kwenye Ndio zetu kuwakilisha na Hawatuwezi sio za nchi hii

Sku hizi pale Uweusini naona anajiimbia tu simuelewi kabisa
Ni kama naona anaharibu nyimbo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom