Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz

ishu ni kuwa Mvuta unga mwenzio ndio hivyo tena kageuka kibaka..!...Na mwisho wa mateja ni ushoga! sasa ww baki tu eti kina sheta hawanikongagi kabisa!.. sasa huyo ***** anakukonga kwenye nini?... yaani unaandika kama demu bwana!..

we mrax acha dharau za kiduanzi!
 
Hii beat ya p funk naitambalia kama sitaki ...................................alafu akasema ...napopita napaona bwana mdogo
Tulieni apite sasa
 
It is confirmed huyu jamaa ana husishwa na matukio ya wizi yeye na wenzie watatu.

Ina semekana wamekuwa wakitumia kimiminika na kukipaka kwenye kio na baada ya kioo kupasuka wana iba vitu vilivyo kwenye magari hayo na pengine magari.

Pia kamanda Kenyela amesema Isack(lordy eyez) wame kuwa wakimtumia mwanamke kakatika wizi wa pikipiki, mwanamke huyo utumiwa na kwenda kukodi pikipiki na kuipeleka walipo wenzio na kufanya uharifu,
Alisema kamanda Kenyela

soource: Wapo radio

[h=3]Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz[/h]


lord-eyez-2.jpg
Lord Eyez baada ya kukamatwa akiiba

Muda mfupi uliopita Ommy Dimpoz ametweet picha hiyo juu na kuandika maelezo haya:
ommy-2.png

 
Msanii wa kikundi cha muziki cha nako 2 nako,Lord eyes amekamatwa jana akihusishwa na ujambazi wa kwenye magari,idadi ya watuhumiwa ni watatu,mmoja ambaye ndiye mtuhumiwa namba 1 ni binti wa miaka 22,hii ni kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa Kinondoni.

Wana JF,huyu binti kuhusika na ujambazi na umri wa miaka 22,tatizo ni ajira? na wasanii wa Tanzania kuendelea na upumbavu ata baada ya kuwa maarufu,je wanaiga wamarekani ambao wakshakua masupastaa wanaacha? au ndo njaa muziki wa bongo haulipi

Source: wapo redio
 
mdau kwanza hakuna superstaa mwizi dats y i always says hakuna staa bongo. hawa wasanii wetu kinachowaponzaga nikukosa long term plans huwa wanafikiri watakuwa juu milele matokeo yake wanaposhuka hufulia sana mwishowe huishia kwenye uteja na hatimaye udokozi. lord nilimheshimu sana lakini kwa hili niemshusha vyeo vyooote
 
We we we ndio mchiizi waaaangu,

Hivi wale jamaa waliomsaidia Remix ya huu wimbo wako wapi? Wengi wao waliimba kua jamaa ndio mchizi wao na hawaachani kamwe,

Adam Mchomvu alimuita jamaa kama ni "his brother from another mother", Fid Q alikuambia mchizi hakusoma nae, walikutana tu kitaani, udogoni hakucheza nae ila ndio mchizi wake wa ukubwani. Tena wengine wakafikia kusema ni mchizi wao kama kiuno na tak0, jinzi na msela, pingu na deso n.k. mbona leo wanamtosa jamaa mpaka anakua hivi.
 
Duh chaliii wa R mbona unatuangusha?na poz aliloweka laonyesha kuna ukwel kanyweaaaaaa!

mtoto wa mama gebo, kwa jinsi alivyosota kufikia alipofikia wakati ule sikujua kama angejisahau kiasi kile, atatukumbuka tuliokuwa tunamuona anapotea tunamshauri mpaka akatufungia vioo, sasa arudi abanane na mama gebo kota za soweto.
 
Bora arudi Arusha Muba na Rama Mkulu watampa Shavu AKIBOA duh! Imeniuma sana YAANI Lodiiii kweli! Aisee lazima afanyiwe mchakato arudi chuga ... Najua Geboo we ni member humu mfanyie mchakato bro arudi chuga aiseee!

nakumbuka gebo alivyokuwa hapendi uhusiano wa kakake na Ray c, sema kijana ndio alikuwa hasikii haambiwi, sasa yamemfika ya kumfika, nilishamkalisha kwenye kitimoto fulani akiwa na INO, wakati huo ndio mambo yameanza kunoga, nilimsihi sana aachae uchakaramu wake but aliniona kiazi pamoja na kumsaidia kote, gebo nae kama member humu nawe sasa hivi huendi poa mdogo wangu, hebu tulia kidogo najua bichwa lako lina akili sana sana, jitulize, niliambiwa una mpango wa kurudi shule, wazo zuri.
 
Tushukuru mungu lord eyez ni mzima na yuko kwenye mikono salama maana kuna wezi wengi wanachomwa moto na kupigwa sana! Mungu ni mwema kwake yeye ni mzima hadi sasa!
 
Lord Macho chalii yangu nini kimekupata arifu? si bora uombe kuliko kuiba?

I still dont biliv kama unaweza fanya hivyo, bado tunakufeel chalii wetu yote maisha
 
Ndo maana ruge anawalipa laki laki kwenye fiesta huku rick ross akilamba million mia mbili na zaidi,, sababu hamna strategic plans na hamjui mnachofanya.. Angalia boss alivyotua na msafara mzito wa team ya watu kibao as pale kuna financial advisor, dj, consultant wa mavaz, lights, camera na mengineyo as yupo serious with what he is doing,,, bongo fleva mnajizalilisha wenyewe kwa life style zenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom