Mm sitaki cheti nataka kujua tu ! Ili niweze kufanya kazi zangu vizuri! Sina desktop so nafanyajeUnataka cheti au unataka kujua typing?
Kama unataka cheti tafuta chuo usome,
Ila kama unataka kujua typing, kaa na computer yako, preferably desktop, download program inaitwa Mavis Beacon, anza nayo mazoezi, inafundisha kila kitu kuanzia namna ya kuweka vidole ktk keyboard hadi mazoezi ya kufanya,
Kumbuka, ukiwa chuo utakua uko committed, kuwa committed hivohivo hata ukiwa unajifundisha mwenyewe ktk hiyo program,
Mazoezi utayachagua mwenyewe, na unapimwa pia speed yako ya kutype
Kazi kwako
Naweza pata wapi course ya TYPING kwa hapa Dar ? Ili niweze kujifunza TYPING
upo dsm nitafute nikupe program ya mavis beacon bure kabisaNaweza pata wapi course ya TYPING kwa hapa Dar ? Ili niweze kujifunza TYPING
That will be hard nduguKuna uwezekano wa kuituma kwa WhatsApp au email?