Looking for this song

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
ASTON MARTIN MUSIC by Rick Ross Ft Chrisette Michele and Drake nimeusikiliza kama mara tano hivi asubuhi hii.
 
Finest hilo pini ndo nalisikiliza hapa....ukiisikiliza teflon don album ya rick ross ndo utajua kuna marepa na marapa!
 
ma mc ndo wa ukweli kaka.....hawa akini rick ross sijui wayne wazinguaji tu.....msikilize mtu kama moss def katika mathematics
 
respect to Mos Def unappreciated emcee!namkubali katika level nzima ya hip hop huyo mtu wa misumali migumu ila katika hip hop nyepesi inayoambatana na wanazoita swagga bonge mwepesi the teflon don rick ross namzimia sana kuanzia katika audio na video jinsi anavyocheza na camera!
 
tatizo swaga nyingi sana hawa watoto wa siku hizi........mi hapo tu! rick ross he is surely da boss!
 
Usinikumbushe those days my dear.
Ricky Ross ni bitozi tu na sina muda wa kuusikiliza ujinga wake, Ngoja nitune kwa Talib Kweli na Common Sence
ma mc ndo wa ukweli kaka.....hawa akini rick ross sijui wayne wazinguaji tu.....msikilize mtu kama moss def katika mathematics
 
Usinikumbushe those days my dear.
Ricky Ross ni bitozi tu na sina muda wa kuusikiliza ujinga wake, Ngoja nitune kwa Talib Kweli na Common Sence

umeona enhe....hawa watoto wa sikuhizi kulingishia magari mazuri kumwaga pesa juu na mambo mengine ya .....lakini watu kama mos def, akina nas ingawa nae siku hizi alianza kulegea lakini akarudi na mtoto wa marley kwenye distant relative ushaisikiliza hii
 
Nimeona perfomance ya Rick Ross ya huu wimbo kwenye tuzo za MAMA AWARDS zilizofanyika Nigeria last week ilikuwa bomba sana.
 
respect to mos def unappreciated emcee!namkubali katika level nzima ya hip hop huyo mtu wa misumali migumu ila katika hip hop nyepesi inayoambatana na wanazoita swagga bonge mwepesi the teflon don rick ross namzimia sana kuanzia katika audio na video jinsi anavyocheza na camera!

video ni nzuri sana the director did a gud job
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom