Looking For Lending Investor in My Limited Company in Tanzania around Morogoro

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Dear Member hi!

Naomba nitumie lugha yetu nadhifu kuelezea hitaji langu.

Mimi ni.mkurugenzi wa kampuni ambayo ni Limited Campany ambayo makao makuu yake yapo Morogoro

Niliifungua kampuni kwa malengo mbali mbali ikiwepo lengo la kuja kufanya biashara ya lendingi ingawa kama inavyo julikana Limited company inavitu vingi vya kufanya.

Ndani ya kipindi cha miaka miwil tangu nimeifungua nilikuwa nikiangaika kupata mtaji wa lending bahat mbaya sifanikiwa

Sasa nikaona kwa nini napoteza muda?kwa nini nistafute wawekezaji ambao tutaingia makubliano mazuri yenye maslai kwa pande zote na tukapiga kazi?

Rejea kauli za wahenga kidore kimoja hakivunji chawa.

Tafadhali kama upo tayar nipm tuzungumze zaid.

KARBUNI.
 
Hii mada ni nzuri ila haieleweki hebu jaribu kuwa wazi unataka investor katika msingi upi ?

Sitaelewa hadi nipate maana ya Maneno kama ‘lending,Nipm, na kidore, hivyo Nipe muda nitafute kwenye Hii kamusi ya misamiati ya KISWAHILI maana ya maneno hayo kabla sijakujibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom