bab N Member Jul 29, 2016 75 35 Dec 3, 2017 #1 Wadau habari zenu , Naombeni kufahamishwa sehemu ambayo wanafundisha lugha ya kikorea maeneo ya dar es salaam.
Wadau habari zenu , Naombeni kufahamishwa sehemu ambayo wanafundisha lugha ya kikorea maeneo ya dar es salaam.
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 10,765 18,618 Dec 3, 2017 #2 nenda kwenye ubalozi wao watakuelekeza!! ni maoni yangu