Looking for investment partner/ financier | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Looking for investment partner/ financier

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CONSULT, Jul 15, 2011.

 1. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hi, jf members kindly I need assistance of any one who can write for me a good and effective project proposal for fetching finance,
  I need to finance my project which worth about one billion Tshs,
  any kind of finance that with reasonable condition and affordable terms will be appreciated,
  The purpose is to develop a commercial Building,
  Location is at city center and very marketable for business.
  The street is one of the busiest street in one of the busiest city in our country.
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Would you please be very clear or rephrase your request so that I can clearly understand what you meant?
  Thanks
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  fill a proper business plan. Get started here: Business Plan Templates and Free Sample Business Plans - Bplans
   
 4. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Consult,
  Mbona unajizungusha zungusha? Wewe unaland tayari, kama nilivyoukuelewa au? Sasa chamsingi ni wewe kusema utakacho kwa mfano...Built area ya Sqr meter ngapi and kiwanja chako kipo wapi and financier atachukua asilimia ngapi kwa muda gani au for lifetime.basi....once you get proposals back to you, you pic the most suitable for you and go with it.....hutaji kuandika any proposal or plan unless you are asking for a Loan. ok?
   
 5. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Mkuu hueleweki unataka kitu gani hasa. Hebu kaa chini uandike vizuri hii kitu ili hata kama kuna watu wenye interest waweze kufikiria.
   
 6. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Embu andika kwa kiswahili kwanza pengine utaeleweka, kama kutakuwa na umuhimu baadae unaweza kusaidiwa kubadilisha ujumbe wako kwenda kwenye ki-englishi!
   
 7. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Am very sorry members,
  am looking for ;
  (1) competent writer in project proposals
  (2) Financier of that project e.g. long term loan for debt finance.
  (3) Investment partner e.g. venture capitalists, Angels for equity finance.

  the plot is High Density in size 720 sq mtr
  Kwa kiswahili :
  Panahitajika kujengwa kitega uchumi/ jengo la biashara
  (1)natafuta mtaalamu wa kuniandikia proposal nzuri itakayo wavutia aidha mwekezaji au mkopeshaji.
  (2)Yeyote atakaye kuwa tayari kunipa pesa kwa mkataba maalum aidha mkopo wa muda mrefu.
  (3)Yeyote atakaye penda kuwekeza ktk huo mradi kwa pamoja aidha kuwekeza kifedha tu kwa makubaliano ya muda maalum.
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ..... before writing a proposal you need to identify the type of property development
  1. residential building or residential apartments
  2. commercial building (offices and shops)
  3. commercial residential building
  4. etc
  then you need to design specific type of the property/building with its respective Bills of Quantities (BOQ)

  here you will get drawings and know the total construction costs carried forward to financing needed (financing plan) of the business plan before calculations of financial projections

  CONSULT , ukishapata michoro ndiyo utajua kitega uchumi chako kitakuwa na aina ngapi za sehemu za biashara pamojva na idadi yake na hii ndiyo itakayo mvutia investor/partner
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Consult, Plot yako ipo sehemu gani?
   
 10. k

  kakolo Senior Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  To be realistic don't even bother looking for financier as it looks like you have no idea with the business. I was like you 5 yrs ago then nikaamua kukomaa mwenyewe miaka yote hii sijawahi hata kufikiria 1bn. How much have you got so far swali la kwanza la bank na wanategemea una 60%

  Fikiria wewe ungekuwa nayo hiyo bn ungeweza kum-finance mtu mwenye high density plot tena kwa maelewano kwa nini mwenye bn asijenge la kwake tu. Bank hazikopeshi 100% sasa fikiria hii 1bn utakuwa na security gani, acha hizi bei za viwanja za madalali utakuta anakutajia 150m Mmwananyamala. Ukienda bank ndio utajua hizo bei za viwanja si realistic.

  Ushauri:
  Kama ulivyoshauriwa hapo juu kama ni gorofa.
  Ila nisingekushauri kuhangaika na gorofa may be 10yrs na biashara huijui.
  Weka nyumba ya kawaida, then ukisha-irun for a while hiyo savings, pamoja na zako za other means for about 5 yrs then unajenga huo mradi wa bn bila kukopa. Inabidi uangalie mbali siyo kama kesho uanze kuwa na mradi wa bn.

  Na kama ni kukopa utakuwa umeshalianza ndio unawaapproach bank hapo watakupa ya finishing huwa wanatoa za kumalizia siyo kuanzia.
  Halafu bank wana masharti very fun inabidi uwe na security, sasa valuers wa hiyo asset gharama zao inakula 2% ya mkopo. Kama unakabiashara eti kawe na audited a/c za miaka 2 kama sikosei, uwe na bima ya afya wewe na mkeo baada ya kupima afya, pia uiwekee insurance hiyo security. Sasa kama una mradi wa 1bn inabidi nao uuwekee insurance sasa its almost impossible.

  Ebwana si kila ushauri lazima uukubali ila hii ni kutoka ktk life experience.

  Good luck.
   
 11. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Asanta sana kwa wote kwa ushauri wenu, LAT na Kakola pia, mm ni mfanyabiashara na nina experience ya kutosha pia,, lkn sina maana najua kila kitu,, sina uzoefu wa kukopa toka bank zetu,., pia nina miradi mingine naifanya mwenyewe kwa uwezo wangu,,.. Hizo ni baadhi ya assets ambazo nahitaji zianze kuzalisha na resources zilizopo especially finance hazitoshelezi sio kwamba hazipo kabisa up to 30% assured.,,, What am doing right now is just initial stage of project formulation, an overviews, Problem Identification and constraints involves, and just looking around any possibilities then BUSINESS PLANS to follow etc..., pengine ntakapo anza rasmi ntahitaji sn msaada wenu katika haya mazingira ya ku-raise finance for long term investment in Tanzania,..,,,, thank you very much,,, sorry for any inconvenience......
   
 12. k

  kakolo Senior Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Consult
  Mazingira ya TZ kuna utata sana mkuu hiyo niliyokupa ndio hali halisi ya mambo yetu hapa. Kwanza kuupitisha huo mchoro pale manispaa unaambiwa hakuna pesa ya kikao inabidi uwanunue wajumbe ili wakae kujadili mchoro wako. Bank nazo ndio hizo yaani ni rahisi kukopa huko nje ya nchi ila kama una 30% ni hatua kubwa.
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  A bank is a place where they lend you an umbrella in fair weather and ask for it back when it begins to rain
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mkuu,concept hiyo(pekundu) inafanya kazi kabisa, kwa sababu inafanya ubongo utoke nje ya fuvu lake kutafuta majibu ya matatizo yanayozuia ndoto zako. Nilikuwa na ndoto fulani huko nyuma na hela sina,bank kama ulivyosema nikakomaa.

  Kuna miradi mingine ukikomaa unaweza ukafanikiwa ukiwa na miaka kama ya Madiba.
   
 15. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Consult, few question kabla sijakupa ushauri. Unataka kuacquire long-term debt? au JV, au strategic partner? Swali la pili, forecast yako ya cash outflow and future cash inflow imekaa vipi? After how long unadhani project itamature kama mtu atawekeza soon? Na ni kiasi gani ambacho unataka 50%+-? Na project yako ni residential building au commercial building? Kama ni residential jee una target high ending clients au watu wa aina gani?

  Nipo kwenye mchakato wa kuregister Venture Capital hapo home, nina exposure kwenye haya maswala ya JV, funding small business and partnership. Nimedeal na Bank mbalimbali duniani includes Citi and BoFa. Let me know and i will see how i can help.
   
 16. k

  kakolo Senior Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Aaa sorry kwa hilo ku-aim high ni vizuri sana ila wakati mwingine tunatakiwa kuwa realistic kulingana na hali tuliyomo na tujipe muda usiwe muda mfupi maana unaweza kata tamaa. Nafikiri kukomaa mara nyingi inalipa lkn unakuwa na hilo lengo kubwa.

  Kosa lingine tunalofanya tunaanzisha miradi kabla hata hujauona wewe mwenyewe unakwendaje una kabidhi mtu. Embu tujifunze toka tamaduni zingine, mzungu akifungua useremara anakuwepo yeye mwenyewe kiwanda kikikua ndio anaamini watu hadi anafikia kuuza share. Embu tujaribu hili maana ukiamini mtu hasa ndugu mnaishia kugombana tu.Mawazo yangu.
   
Loading...