cleverbright

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
1,742
Points
2,000

cleverbright

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
1,742 2,000
shukrani mkuu, mie BA in Education hapo wanataka wengine.
Kwa hiyo BA in Education bado tu mpaka leo hujapata Fursa ya Ajira / Kazi Kiongozi? Katika Tasnia ambazo nadhani Ajira zake zipo nje nje na pia wala haiitaji Mtaji wowote au mkubwa kuweza Kujiajiri ni basi ni hii yako ya Education. Nahisi Wewe unataka Kazi zile Kuu Kuu na zenye Mishahara minono ila hutaki Kuanzia Kwanza na Kazi za Mishara midogo. BA in Education halafu kila mara unalalama / unalalamika huna Kazi kidogo unanishangaza na kuna uwezekano pia ukawa una Ajira yako tayari ila hapa unatania tu kama siyo Kusanifu Watu.
 
October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
2,008
Points
2,000

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
2,008 2,000
Kwa hiyo BA in Education bado tu mpaka leo hujapata Fursa ya Ajira / Kazi Kiongozi? Katika Tasnia ambazo nadhani Ajira zake zipo nje nje na pia wala haiitaji Mtaji wowote au mkubwa kuweza Kujiajiri ni basi ni hii yako ya Education. Nahisi Wewe unataka Kazi zile Kuu Kuu na zenye Mishahara minono ila hutaki Kuanzia Kwanza na Kazi za Mishara midogo. BA in Education halafu kila mara unalalama / unalalamika huna Kazi kidogo unanishangaza na kuna uwezekano pia ukawa una Ajira yako tayari ila hapa unatania tu kama siyo Kusanifu Watu.
Mkuu ajira njenje?? tuachane nailo eleza kivipi rahisi kujiajiri kwenye iyo Education.
 
Avriel

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2017
Messages
2,149
Points
2,000

Avriel

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2017
2,149 2,000
Duh!
Kwa hiyo BA in Education bado tu mpaka leo hujapata Fursa ya Ajira / Kazi Kiongozi? Katika Tasnia ambazo nadhani Ajira zake zipo nje nje na pia wala haiitaji Mtaji wowote au mkubwa kuweza Kujiajiri ni basi ni hii yako ya Education. Nahisi Wewe unataka Kazi zile Kuu Kuu na zenye Mishahara minono ila hutaki Kuanzia Kwanza na Kazi za Mishara midogo. BA in Education halafu kila mara unalalama / unalalamika huna Kazi kidogo unanishangaza na kuna uwezekano pia ukawa una Ajira yako tayari ila hapa unatania tu kama siyo Kusanifu Watu.
 
Forum statistics

Threads 1,344,038
Members 515,307
Posts 32,805,607
Top