MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,172
- 23,975
Nimekuwa katika mahusiano kabla lakini mashua ya mapenzi ilipigwa na dhoruba kali na tulijikuta tumetenganishwa kila mmoja ng'ambo nyingine katika kisiwa cha maisha tofauti.
Nimekuja hapa jukwaani kujaribu bahati yangu nione kama safari yangu ilikuwa inatakiwa kuishia hapa.
Nitafurahi kama nitapata mwanamke aliye na vigezo vifuatavyo:-
- Mtanzania anayeishi United Kingdom (UK)
-Umri chini ya miaka 40
-Mrefu wa 5' 4"-6'0"
-anayependa kuwa katika mahusiano ya muda mrefu
-elimu kuanzia ngazi ya diploma
-Awe na mtazamo wa maisha ya ki-liberali
-Mpenda wanawake (bisexual)
-Mwenye vipimo vya STD's vya karibuni.
-anayependa pia kupata watoto hapo baadaye.
-Uzuri wa umbo na sura itakuwa ni added bonus
Kwa upande wangu:
-Jinsia: Mwanamme-Ninaishi United Kingdom (UK)
-Umri wangu ni kati ya miaka 35-40
-Urefu wangu 5' 8"
-Sina Mtoto/Watoto
-Nina shahada ya Uzamili
-nimeajiriwa/kujiajiri
-nina maisha ya ki-liberali
-Napenda wanawake tu (heterosexual)
-Napenda kuwa na Mtoto/watoto hapo baadaye
-Napenda mahusiano ya muda mrefu.
Kwa yule aliye serious tuwasiliane kwa PM au barua pepe kwa anuani hii hbalaka@ yahoo.com